Angela Kairuki amuwakilisha Dkt. Mpango kwenye mkutano wa TAWIRI

Bado wanatengeneza maigizo tu kwanini kama kiongozi anaumwa wasitangaze tumfanyie sala?
 
Watu wanapepesa macho waone Kama Kuna maandalizi ya kijeshi waliamshe dude.
 
Kama siyo lazima basi raia wana haki ya kuhoji na kukisia wanachotaka kwani kiongozi wa nchi ni lazima wajue alipo.
Ukiona wako kimya ujue kuna jambo wanaficha! Samia alikuwa anakwenda Dubai kimya kimya wakati anakwenda kufanya deal na DPworld kuhusu kuwauzia Bandari!! Hizo ndio zao hawa mafisadi.
 
Unafikiri Huwa anazungumza bila kujus uhalisia!!?

Huo ni ukomavu was kisiasa na kiintelejinsia!!
SIO KWELI.kwani unaposema kiongozi anaumwa nini kitatokea.nchi itapinduliwa?kama hili tu dogo anatuficha na kutuongopea atakuwa KATUONGOPEA MANGAPI MPAKA SASA.binafsi yangu mimi ukinidanganya mara moja SIKUAMINI MILELE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…