guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
China!Huyu ni mmoja wa wanasiasa aliyeongoza kwa kubadilishiwa wizara karibu tatu katika miaka mitano ya jpm.
Mara ya mwisho kumuona ni kabla ya uchaguzi wa 2020.
Ningependa kujuza alipo kwa sasa anafanya nini?
Kwa mme wake balozi!
Anjela ni mke wa balozi Mbelwa.Detective J
unamanisha mwendazake alikuwa anampelekea moto huyo bi mdashi!?
kweli mengi siyajui!
mkuu, si johnthebaptist kasema huyo mama mume wke yupo uchin,sasa jpm alikuwa anakulaje kimasikhara?
Wajumbe walimstaafisha siasa
Wajumbe wa mashina na wajumbe wa kamati kuu wote kwa kauli moja walisema akatwe!
Maswali mengine ni ya kikuda kweli, kuna jambo tu analitaka.Anjela ni mke wa balozi Mbelwa.
Usiwaamini Bavicha bwashee ni wazushi sana!