Angela Kairuki yupo wapi kwa sasa?

Angela Kairuki yupo wapi kwa sasa?

Wakurungwa salam,

Kulikuwa na Waziri anayeitwa Dr. Angela Kairuki nadhani mara ya mwisho kumsikia masikioni mwangu enzi za Mwendazake alikuwa ni Waziri wa Nishati.

Siku hizi amepotea kabisa katika ngoma za masikio zangu. Hivi bado ni Waziri? Yupo wapi siku hizi? Bado ni Mbunge au Ubunge wake ulikwisha?
 
Back
Top Bottom