Angela Kairuki yupo wapi kwa sasa?

Angela Kairuki yupo wapi kwa sasa?

kwa hiyo wote hoa ametembea nao?
kure kanda ya ziwa kuree!...hao mbona ni km kuramba ri asali tu kwa ghitore!.....ukizingatia ritambwe kichure...kimori. Obhuhoro ya uresi na muhogho!! Amahemba Mweee!! Hushuki kinenani.....yaani kwa kure level ya chini ni vimke kumi.tena vyenye afya ya wastani.km jokate ivo ndo vitamu. Havichokiga.
 
Wakurungwa salam,

Kulikuwa na Waziri anayeitwa Dr. Angela Kairuki nadhani mara ya mwisho kumsikia masikioni mwangu enzi za Mwendazake alikuwa ni Waziri wa Nishati.

Siku hizi amepotea kabisa katika ngoma za masikio zangu. Hivi bado ni Waziri? Yupo wapi siku hizi? Bado ni Mbunge au Ubunge wake ulikwisha?
watu wambeya, eti walisema ulikuwa ni mzigo wa Mzee baba !!
 
Anjela ni mke wa balozi Mbelwa.

Usiwaamini Bavicha bwashee ni wazushi sana!
kuuumbe sasa umekuja....mume akae ubalozini km balozi.....halafu mke wake awe waziri bongo??wadau mmeelewa kweli.....daaa !! Watu ni wapore sana...ningekuwa mie ningerusha ngumi ikulu mpaka iwe historia.....huwezi nihonga ubalozi waziwazi ivo.nikuachie mali zangu nyambaf!! Jiwe yamemuua mengi kumbe.
 
Kaa kimya wewe mtoto mdogo hujui Anna Kajumulo mambo aliyopitia mpaka kufika U. N.! Waache wazee wakae na siri zao.
Hujanielewa.
Mimi nimesema katika wanawake waliofika juu bila kubebwa na mwanaume ni Prof. Anna Tibaijuka. I know Anna, alikua Prof wangu wa agricultural economics pale UDSM miaka hiyo. I know she's got a good head and she uses it.
 
Hujanielewa.
Mimi nimesema katika wanawake waliofika juu bila kubebwa na mwanaume ni Prof. Anna Tibaijuka. I know Anna, alikua Prof wangu wa agricultural economics pale UDSM miaka hiyo. I know she's got a good head and she uses it.
Wewe ndio hujanielewa kwani umemfahamu akiwa mwalimu wako huwezi kujua mambo zake! Tulia kaa kimya usitake kujua yaliyo kuzidi kimo!
 
Mzee alikuwa anajifanya Mungu, anadhulumu hadi ndoa za watu waziwazi
 
Hiki kifaa kililetwa na VascoDagama toka Botswana kuja kuongoza TIC! Walishindana mshahara hivyo mama hakugusa zile posho zao mpaka Jiwe alipoingia madarakani na kumtengua! Karudi kule alikotoka!
 
Back
Top Bottom