Angela Kairuki yupo wapi kwa sasa?

Angela Kairuki yupo wapi kwa sasa?

Dah! Mleta uzi pengine kuuliza kwako kulifanya wateuaji wamkumbuke A. Kairuki.
 
Huyu ni mmoja wa wanasiasa aliyeongoza kwa kubadilishiwa Wizara karibu tatu katika miaka mitano ya Hayati Magufuli.

Mara ya mwisho kumuona ni kabla ya uchaguzi wa 2020.

Ningependa kujuza alipo kwa sasa anafanya nini?

View attachment 1756238
Pia soma: Nini kinamsibu Waziri Angela Kairuki? Miaka 3 Wizara 3!
Ni mbungewa kuteuliwa na waziri wa TAMISEMI akichukua nafasi ya Bashungwa anayekwenda ulinzi kuchukua nafasi ya Tax anayekwenda Foreign Affairs kuchukua nafasi ya Mulamula aliyepigwa chini
 
Kila siku huwa nasema machadema ni mapumbavu!

Ccm wanajuana, mbeleni huko tutamuona Makonda na Sabaya wakiramba asali.

Kuwazibua akili machadema itakubidi uwazabue mabao ya kutosha
 
Back
Top Bottom