Angela Kairuki yupo wapi kwa sasa?

Angela Kairuki yupo wapi kwa sasa?

Wanawake wa kiafrika wanapenda sana kubebwa na wanaume kwa kutumia mahaba kama qualification criterion.

Angalia wanawake wote walio ktk nafasi zenye ushawishi mkubwa katika nchi hii lazima utakuta nyuma yake kuna mwanaume, anzia juu kabisa kushuka chini.

Hakuna mwanamke anayeweza kufika kileleni bila kusaidiwa na mwanaume, kama yupo mniambie ni nani na uangalie usiropoke usije ukaumbuka bure humu.

Huyo anayesemwa humu hayuko peke yake, wanawake wote, hasa wa kiafrika, hiyo ndio hulka yao. Tuseme tu ukweli, isingekuwa mwanamme leo hii tusingekuwa na rais mwanamke, watu wazima watanielewa. So please leave Angela alone.
Upo sahihi mkuu, hilo suala la wanawake kufika kileleni, linahusu wanaume, hasa wale wenye bidii!
 
Acheni umbea!!!
Halafu ndio midume hiyo na ukute nyumbani wanategemewa mwizi akiingia angalau warushe nakos kumbe ndio hivyo tena, kina delicious hadi humu wamo. Mtihani
 
Endelea hivyo hivyo sukuma gang....bado wanawrweseka mungu wao kaenda.....
Ukiwa boss wanakubembeleza .....one min anaondoka kaacha 20mik hapo...za kujikimu anaenda zake...anachafua tu ....unafikiri kuna cha maana wadasa wana siri nyingi za ma boss na wazee
Weka basi na chaga gangsters. BTW its too low for you.
 
Wewe huelewi kitu kimoja kikubwa na cha msingi sana. Hayupo kiumbe hapa duniani ambaye ni powerful kama mwanamke. Kwa hiyo, mwanaume yeyote usipojua hili, lazima tu uwe mtumwa wa wanawake na watakusumbua sana maisha yako yote. Mwanaume aliyeiva lazima huwa anajua kuwa ladies are the most powerful creatures in this world! Kalaghabaho
I don't understand your gist in this topic especially when most of the highest positions of power are held by men and when the same applies to women only for the courtesy of men, our case is a typical example.
 
Ila Jiwe ni kitu kimoja tu alifanikisha (achieved) maishani mwake ni kwa kugonga huyu superlady. Hii ni everlasting legacy kaacha.
Hamna lolote. Wa kawaida sana, na isingekuwa kubustiwa angekuwa mdangaji.
 
Ila maisha bwana kula vichache ulale mapema mwendazake kaenda mbowe yuko nondo sabaya kala mvuwa 30 dhu acha niendeleee kumwaga zege
 
Back
Top Bottom