Angelina Jolie anajiachia na kaka yake

Angelina Jolie anajiachia na kaka yake

Star mkubwa wa filamu duniani kwa sasa yupo kwenye mahaba mazito na kaka yake James Haven . Wawili hao wameyaweka wazi mahusiano yao bila hata aibu [emoji57]

'' Nampenda sana kaka yangu. Wewe ni mwanaume mzuri kuliko wote ninaowajua na nakupenda saaaaana ''. amesema hivo Angelina Jolie

Wadau hii imekaeje [emoji849]View attachment 2207637

Wazungu sio binadamu wa kuwaiga mambo Yao, wana mambo mengi sana ya ajabu ajabu!! Sisi tutapona tukizingatia utamaduni wetu basi.
Toka wameachana na Brad Pitt ,Angelina yanaonekana kama vile kachanganyikiwa!!! Anachapwa hovyo.
 
kuna uz nlkua nauptia kwa waliowah kula ma binam zao anyway kikubwa wanaenjoy bas ikawe kher kwao
 
Wa kuwazaaa na niliyashuhudia haya, aki nilishangazwa mnooo. Baba anatembea na mtoto wake wa kumzaa wakike, vivyo hvyo mama na kijana wake.
wanakula faida, sio mtaji 😂😂🤣
 
Imekaa kama Ibrahim na Sarah kwenye Biblia. SARAH alikuwa Dada Yake ibrahim

MWANZO 20:2 na 11

2 Akiwa huko, Abrahamu alisema kuwa mkewe Sara ni dada yake.

11Abrahamu akamjibu, “Nilifanya hivyo kwa kuwa hakuna amchaye Mungu mahali hapa, na kwamba mngeniua ili mumchukue mke wangu. 12Zaidi ya hayo, kwa kweli, yeye ni dada yangu: Baba yake na baba yangu ni mmoja, lakini mama tofauti; ndiyo maana akawa mke wangu.
 
Hakuna jipya wala lisilowezekana chini ya jua. Hongera kwao na penzi liwe la dhati. Jah awe nao.
 
Habari ya miaka 22 iliyoisha hii, nothing is going on na hata sasa hawawasiliani kabisa.
 
Back
Top Bottom