Star mkubwa wa filamu duniani kwa sasa yupo kwenye mahaba mazito na kaka yake James Haven . Wawili hao wameyaweka wazi mahusiano yao bila hata aibu [emoji57]
'' Nampenda sana kaka yangu. Wewe ni mwanaume mzuri kuliko wote ninaowajua na nakupenda saaaaana ''. amesema hivo Angelina Jolie
Wadau hii imekaeje [emoji849]View attachment 2207637
Wazungu sio binadamu wa kuwaiga mambo Yao, wana mambo mengi sana ya ajabu ajabu!! Sisi tutapona tukizingatia utamaduni wetu basi.
Toka wameachana na Brad Pitt ,Angelina yanaonekana kama vile kachanganyikiwa!!! Anachapwa hovyo.