Men are polygamy in nature
po·lyg·a·mous.Men are polygamy in nature
Mmhhh Weee Mi huwa nikimchek tuu nipo hoihunifikii mimi
Evelyn salt. Njoo uone wajina wako. Lakini I liked this couple. Ila wazungu wao wanaruhusu talaka kwnini kwetu mpaka kifo, all the best Jolie
Je na yale mabaya yanayofanyika kabla ya ndoa kuvunjika?Mungu anayapenda?Ndoa ikivunjika mungu huwa anachukia
Kwel alikua anamtafutia mwenzie sababu. Miaka 16 yote hakuona hizo kasoro.Angeline alishasemaga anataka kumtaliki kwa kua havutii tena sasa sijui nn kilotokea akaghairi...
Leo kaja tena na excuse kama hizo
Aseme tu kashamchoka
Maana wenzetu watu weupe hawafii watoto kama wabongo!
Hapa Bongo ukiwa umefunga ndoa ya dini sijawahi sikia serekali imetoa talaka. Ebu nipe mfano kwa watu marufu. Walishawahi peana talaka. Let's call a spoon a spoon.Tofautisha sheria ya dini
Na sheria ya kiserekali
hahahahahaha vizuri,yasiyotatulika bora yakimbiweHayapendi pia , matatizo huwa yanakimbiwa?
Hii ndo sababu ya msingi!Kwel alikua anamtafutia mwenzie sababu. Miaka 16 yote hakuona hizo kasoro.
Wanawake wengine bana nafasi hyo wengine wanaililia. Aseme tu hana mvuto basi
hahahahaha huenda kweli hamna mwanaume perfect[emoji3] [emoji3] huoni talaka ya 3 hiyo? Hawezi pata mwanaume yuko perfect
nyooooote nyie hamnifikii mimi aseehunifikii mimi
Jennifer Anston atakuwa anachekelea tu huko aliko,kazi ipo kwenye kugawana mpunga,Brad kazi anayo,Child support kwa watoto sita ataipata fresh.
hahahahahahahaha wewe ndio namba mojanyooooote nyie hamnifikii mimi asee