Sidhani kama hiyo ni sababu.
Brad Pitt ni mlevi wa pombe na Angelina ni mtumiaji mzuri tu wa madawa ya kulevya.
Lakini Brad anaelezwa kwamba ni mkali sana ndani ya nyumba, hivyo mama hawezi kuendelea na hali hiyo wakati yeye ana watoto wengi na khasa Maddox ambae mama hapendi kumwona anasononeka baada ya kuambiwa na baba (Brad) hata jambo dogo la kumrekebisha.
It more about maintaining discipline kwenye nyumba ingawa baba anachapa kilevi na mama madawa, hivyo inakuwa ngumu.
Kama unafahamu Madonna na Guy Richie nao wametengana kwa sababu hizohizo za kutaka kuleta nidhamu kwenye nyumba na mama yake Rocco Madonna hapendi aadabishwe.
Nao wana watoto mchanganyiko hivyohivyo na Madonna ana watoto wengine wa kuwalea.
Matokeo yake Rocco ni mlevi wa madawa na natembea na vijana wengine wasosikia mitaani.
Hivyo ni suala la uamuzi muishi kama bibi na bwana mkiwa na hao watoto au marafiki wa karibu lakini sio ndoa kwa watu kama hawa wenye complex life styles.
Ndio maana mtu kama Hugh Grant hajaoa mpaka leo au George Clooney na mkewe Amal wameoana lakini kila mtu yupo busy na watoto si priority, na kuna uvumi kuhusu mustakabali wa Clooney kuhusiana na kuendeleza mahusiano na wanawake wengine akiwa ameoa (mzee wa emergency room).