Angelina Jolie: Uvutaji wa bangi na mchepuko wasababisha ndoa na Brad Pitt kuvunjika

Angelina Jolie: Uvutaji wa bangi na mchepuko wasababisha ndoa na Brad Pitt kuvunjika

Nimesoma Yahoo amesema hataki cha Child support wala sent tano ya Brad...huyu ni mwanamke wa shoka...ukute yeye ndio ana mpunga mrefu...
Hataki child support?basi atamkamua kwenye kugawana mali,ila Brad lazima atowe child support.Namchukia sana Anjelina,si kwa kumsababishia depression Brad jamani.Ila malipo ni hapa hapa duniani,mama Brad alimshauri mwanae hakusikia ,leo anaachwa kiaibu
 
Mkuu, inaonekana huwafahamu vizuri hawa.

Brangelina ni A-list celebrities na walikuwa na pesa ya kutosha kabla hata hawajaoana.

Vita itakuwa ni watoto ambao Brad amezaa na Angelina lakini sio pesa.

Na ukumbuke walifanya Prenuptial agreement ambayo haihusu mali kabla ya ndoa.

Ila mwanasheria wa Angie Laura Wasser ni very aggressive na ndie alieshughulika kwenye talaka yake na Billy Bob Thornton.
Namuonea huruma Brad,Jennifer Anston nae bado anatafuta uzazi,angeenda zaa wengine.Angelina mshari sana anaonekana,nasikia yule actress anaeshukiwa kutembea na Brad kumbe ni mke wa mtu ,tena ana mimba ya mmewe,Brad is the looser here
 
Mzee akimwaga sera.

Binti Selena Gomez ambae ndie ameleta kashehe baada ya kupiga hii picha na Brad Pitt.

Ana miaka 24 tu.

Mwanamke mwingine ambae anasemwa kuwa hajakosa panga la Brad ni Marion Cotillard mwenye umri wa miaka 40 ambae wamecheza pamoja katika filamu ya Allied.

Kwenye filamu hii wamecheza kama watu waliooana yaani familia kabisa.
 
Namuonea huruma Brad,Jennifer Anston nae bado anatafuta uzazi,angeenda zaa wengine.Angelina mshari sana anaonekana,nasikia yule actress anaeshukiwa kutembea na Brad kumbe ni mke wa mtu ,tena ana mimba ya mmewe,Brad is the looser here

Ni kweli lakini atapigania kichizi kuwaona watoto wake.
 
Jolie hawezi olewa tena maana alikatwa maziwa kutokana na breast cancer

Uzuri wa gari ni mashine sasa kama mashine ina km chache unasemaje gari haiuziki na ujue ile siyo ya kusukuma ehhh ukitia funguo tu inawaka halafu sikiliza mlio wa mashine hata ukiwa km moja utaijua mashine nzuri[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hataki child support?basi atamkamua kwenye kugawana mali,ila Brad lazima atowe child support.Namchukia sana Anjelina,si kwa kumsababishia depression Brad jamani.Ila malipo ni hapa hapa duniani,mama Brad alimshauri mwanae hakusikia ,leo anaachwa kiaibu
Brad Pitt alichomfanyia Jennifer Aniston mungu alimuona....dada wa watu alikuwa ka chizi, eti kamuacha ghafla anasema hazai kisa kamuona Jolie!...malipo ni hapa hapa chini ya jua!
 
Wanaume wawili waliocha wake zao ghafla nikawaona manunda ni Tom Cruise alimsababishia maumivu makali Nicole Kidman hadi mimba ikatoka kwa mshtuko!..alikokimbilia sasa kwa Katie Holmes hakupendwa wala nini, katoka kumwagwa juzi kati, sasa hivi yuko ka chizi hajielewi!...mwingine ni huyu sasa Brad yamemkuta yaliyomkuta!...so majibu ni lazima
 
Nampenda Tom jamanii
 
Jolie hawezi olewa tena maana alikatwa maziwa kutokana na breast cancer
Aiseee wewe jamaa pamoja na kujitahidi kutuletea habari nzuri lakini hii comment umevuruga kila kitu.
Maziwa ndiyo yanayosababisha mtu kuolewa?
Mbona alikuwa anaishi na ex hubby Brad huku akiwa hana hayo maziwa?
Kwani ni yeye aliyeachwa sababu ya kukatwa huko maziwa hadi ulipe uzito suala la kukatwa kwake maziwa?
Huu ni udhalilishaji kwa wanawake,behave yourself.
Period
 
Nimesoma Yahoo amesema hataki cha Child support wala sent tano ya Brad...huyu ni mwanamke wa shoka...ukute yeye ndio ana mpunga mrefu...
Daaaadeki [emoji123][emoji123][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Sidhani kama hiyo ni sababu.

Brad Pitt ni mlevi wa pombe na Angelina ni mtumiaji mzuri tu wa madawa ya kulevya.

Lakini Brad anaelezwa kwamba ni mkali sana ndani ya nyumba, hivyo mama hawezi kuendelea na hali hiyo wakati yeye ana watoto wengi na khasa Maddox ambae mama hapendi kumwona anasononeka baada ya kuambiwa na baba (Brad) hata jambo dogo la kumrekebisha.

It more about maintaining discipline kwenye nyumba ingawa baba anachapa kilevi na mama madawa, hivyo inakuwa ngumu.

Kama unafahamu Madonna na Guy Richie nao wametengana kwa sababu hizohizo za kutaka kuleta nidhamu kwenye nyumba na mama yake Rocco Madonna hapendi aadabishwe.

Nao wana watoto mchanganyiko hivyohivyo na Madonna ana watoto wengine wa kuwalea.

Matokeo yake Rocco ni mlevi wa madawa na natembea na vijana wengine wasosikia mitaani.

Hivyo ni suala la uamuzi muishi kama bibi na bwana mkiwa na hao watoto au marafiki wa karibu lakini sio ndoa kwa watu kama hawa wenye complex life styles.

Ndio maana mtu kama Hugh Grant hajaoa mpaka leo au George Clooney na mkewe Amal wameoana lakini kila mtu yupo busy na watoto si priority, na kuna uvumi kuhusu mustakabali wa Clooney kuhusiana na kuendeleza mahusiano na wanawake wengine akiwa ameoa (mzee wa emergency room).
Uko vizuri kwa habari za celebrities wa nje [emoji119][emoji119][emoji122]
 
Back
Top Bottom