Angelina Jolie: Uvutaji wa bangi na mchepuko wasababisha ndoa na Brad Pitt kuvunjika

Miaka 12 ya uchumba ndo walichunguzana, ndoa miaka 2 ina umuhimu gani sasa si bora wangeendelea na uchumba wao tu. Funzo hapa hata umchunguze mpenzi miaka 10 kabla ya kuoana anaweza kuigiza tu, wala uchumba wa muda mrefu haumaanishi ndoa itadumu
haaahaaaaa
 
Huoni kama ni Karma kwa huyo Brad?
Ndo maana yake,ila na yeye kasema lazima afight ili nae apate custody,kasema hakuna cha sole custody,huku Angie nae anajigamba hii itakuwa talaka ya karne.Wapenzi wanapogeuka maadui
 
alafu alikuwa haongei (kamnunia) baba yake kwa muda mrefu sana!
Yeah Mzee Jon Voight, Angie amepinda kiasi chake, si alikuwa anakulana na kaka ake yule toka nitoke!?![emoji80] [emoji80] [emoji80] [emoji80]
 
Hivi mwanamke akifile divorce paper mahakamani wakati ndoa ilifungwa kanisani how inakuwa valid? Hizi paper zilitakiwa zipelekwe kule kule ndoa ilipofungiwa ili ifunguliwe
Kuna tofauti kati ya sheria za dini na sheria za serikali. Cheti cha ndoa kinatolewa na serikali. Mapadri, wachungaji, mashehe wanatumia cheti kilichotolewa na serikali. Wao wanakuwa kama mawakala wanaotambulika na serikali kufungisha ndoa. Wakati sheria za kikristu haziruhusu talaka, hakuna sheria ya nchi inayosema wanandoa wasipeane talaka.
 
Yaani ni kweli malipo ni hapahapa duniani. Si kwa kumtesa kule Jeniffer Aniston... Kuna matatizo mengine wanaume wanayatafutaga wenyewe tu. Lilikuwa swala la muda tu kwa Ange kumtema Brad
 
yaan for 12 years ya kudate hakuliona hilo la kuvuta bangi na mengneyo ila kwenye ndoa ya 2 years yameonekana yote hayo. daah kwel wazungu hamnazo...
Wazungu wanadate miaka mingi wakioana tu wanaachana ndani ya muda mfupi
 
Namuonea huruma Brad,Jennifer Anston nae bado anatafuta uzazi,angeenda zaa wengine.Angelina mshari sana anaonekana,nasikia yule actress anaeshukiwa kutembea na Brad kumbe ni mke wa mtu ,tena ana mimba ya mmewe,Brad is the looser here
aiseeeh!
 
Brad Pitt alichomfanyia Jennifer Aniston mungu alimuona....dada wa watu alikuwa ka chizi, eti kamuacha ghafla anasema hazai kisa kamuona Jolie!...malipo ni hapa hapa chini ya jua!
Kwa Mungu mahesabu tu!
 
So sad, sijui itakuwaje kwa watoto maana hela sio kitu wamevuna wote ni hukumu itavyokuwa kwani kwa pamoja wametengeneza $555m
 
Yeah Mzee Jon Voight, Angie amepinda kiasi chake, si alikuwa anakulana na kaka ake yule toka nitoke!?![emoji80] [emoji80] [emoji80] [emoji80]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Safi sana mambo ya kunganganiana ka kupe yanaudhi sana, mwanamme akikosa mvuto talaka inamhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…