Angélique Kidjo: Kama hupigi kura, chochote kinachoathiri maisha yako kinakutokea kwasababu hukushiriki katika kufanya maamuzi

Angélique Kidjo: Kama hupigi kura, chochote kinachoathiri maisha yako kinakutokea kwasababu hukushiriki katika kufanya maamuzi

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
"Ikiwa tunataka kuishi katika jamii inayojiita ya watu waliostaarabika, kupiga kura ni mojawapo ya mambo muhimu. Kuna sehemu duniani ambapo watu hawajawahi kupiga kura—kamwe. Hata hawajui maana yake... Na hakuna kitu muhimu zaidi ya kuwapa watu uhuru wa kuchagua wanaotaka kumpigia kura na wanachotaka kufanya."
====================


“You cannot complain about something that’s not right if you don’t vote. You can’t say, ‘I want this, I need this, this is my right,’when you don’t vote because if you don’t vote, whatever impacts your life, you let it happen to you. You want things to change, vote until you see the society you want to live in and be part of the building of that society.

“It’s easy to be angry, it's easy to be hateful, it's easy to say ‘they,’ not counting you in it, but that doesn’t change anything. It makes your life more miserable because you’re not playing a part in anything that is happening in the world.

“If we want to live in a society where we call ourselved evolved human, voting is one of those things. There are places on this planet where people have never voted. Never. They don’t even know what it means ... And nothing is more important than letting people be free to choose who they want to vote for and what they want to do.”

Angélique Kidjo, Grammy Award-Winning Singer-Songwriter

 
Kwa Tanzania hii kupiga kura ni sawa na kubariki ushetani na udhulumati.
Uchaguzi unatanyika ili kuwaridhisha wazungu watoe mapesa wale wakubwa pamoja na watoto na machawa wao.
Niambie bilioni 500 $ za USAID ziko wapi?
 
Ingekuwa kura ndio zinazoamua nani atangazwe mshindi angekuwa na hoja.
 
Kura haziamui nani kaibuka mshindi nchini Tanzania. Tume ya uchaguzi imekaa kipendeleo kwa chama tawala. Sometimes kutokupiga kura ni sawa tu.
 
Kupiga kura za wazi kama walivyofanya chadema juzi ndio kitu kizuri yaani pale wananchi wanampata kiongozi wanayemtaka awe wa chadema au ccm na hii ingekuwa ndio democracia ya wananchi kweli kweli. Sidhani kama kuna mbunge angechaguliwa kwa mfumo kisha akatetee chama chake badala ya wananchi, yaani wangetuheshimu sana wananchi hawa wanasiasa maana chama kisingekuwa na nguvu ya kuwatetea na sisi wananchi tungekuwa tujibadilishia kiongozi vile tunataka.
 
Kwa katiba ya tz, kupiga kura ni kupoteza muda. Watu wanatakiwa kitafuta njia nyingine ya kuleta mabadiliko ya kiuongozi na sio kupiga kura
 
Back
Top Bottom