Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Waziri wa Uwekezaji, Angellah Jasmine Kairuki akichukua Fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo la Same Magharibi kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi leo Julai 14 , 2020. Anayemkabidhi fomu hiyo ni Katibu wa CCM Wilaya ya Same Victoria Mahembe.
=====
Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki (Alizaliwa Septemba 10, 1976) ni mwanachama wa CCM, amekuwa mbunge wa viti maalumu tangu 2010, aliwahi kuwa naibu waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi, pia Katiba na sheria. Kabla ya hapo aliwahi kufanya kazi kama mwanasheria kwa makampuni binafsi na serikali
Kairuki alisoma shule ya sekondari ya wasichana ya Zanaki mwaka1997. Anashahada ya sheria aliyoipta kutoka Chuo Kikuu cha Hull, Uingereza 2001.