wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Huyu Kairuki anatamaa tu, yeye atulie tutamteua tena.Wabunge wale wanaodhani ubunge Ni uchifu na wana hati miliki za Jimbo mtu mwingine asigombee hata Mimi naunga mkono wafungishwe virago
Kairuki ana haki zote za Kugombea na aungwe mkono Ni Kati ya akina mama wenye akili nyingi wanaoweza saidia Jimbo na Nchi .Mpeni kura zote kuanzia maoni Hadi kura za uchaguzi mkuu muone jinsi kasi ya maendeleo itakavyokuwa kubwa Happ
Huyo aliyeko aligawa ambulance rushwa as if Tatizo la watu wa Hilo Jimbo ni.kuumwa tu!!! Aligawa mi ambulance kibao Takukuru wakamzuia naunga mkono yaani Ina maana kaona watu wa hilo Jimbo Ni kutwa wao kuumwa mahututi Kika kuchao Ndio akawajazia Mia mbulance kibao?
Hilo Jimbo shida Yao kubwa Sio mi ambulance ya kubeba wagonjwa mahututi kila Kona hawana corona hao kila Kona kiasi kuwa upeleke mi ambulance kibao kila Kona ya kuwapeleka vituo vya corona
Tatizo la hilo Jimbo Sio mi ambulance
.CCM kateni Hilo jina la Hilo gawa rushwa
Huko watamchafua pia atachuja na pilika pilika za kampeni.
Hatutaki apoteze ubora wake.