Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Ubunge Sio uchifu wacha Kairuki ampokee ana akili nyingi na atawasaidiaKwahiyo Dk David Mathayo David ndiyo basi tena? Ndiyo maana jamaa alikuwa anatoa rushwa sana.
Dady kamuhakikishia huyu cheupe jina lake lazima lipite.Kwahiyo Dk David Mathayo David ndiyo basi tena? Ndiyo maana jamaa alikuwa anatoa rushwa sana.
Wabunge wale wanaodhani ubunge Ni uchifu na wana hati miliki za Jimbo mtu mwingine asigombee hata Mimi naunga mkono wafungishwe viragoHuu mwaka sio wapinzani tu,hata wabunge wa ccm wenye uhakika wakurudi ni wachache.
Unajua sisi wasukuma tunapenda sana weupeDady kamuhakikishia huyu cheupe jina lake lazima lipite.
Au vp bwanaUnajua sisi wasukuma tunapenda sana weupe
Jina la mademu mwisho miaka 30 juu ya hapo ni mwanamke.....Dah huyu demu nampendaga sana aiseee
Ubunge Sio uchifu wacha Kairuki ampokee ana akili nyingi na atawasaidia
Chombo ya fundi[emoji4]
Dah huyu demu nampendaga sana aiseee