Uchaguzi 2020 Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki achukua fomu ya kuwania Ubunge Same Magharibi

Huyu Kairuki anatamaa tu, yeye atulie tutamteua tena.

Huko watamchafua pia atachuja na pilika pilika za kampeni.

Hatutaki apoteze ubora wake.
 
na mpinzani wake dr Mathayo David Mathayi mtoto wa cleopa msuya mapema takukuru walishamuwashia taaa nyekundu
Kwa Same mh Angellah Kairuki ana nafasi kubwa endapo chama kitamteua, tatizo ni kwa wana CCM wenyewe maana huyu mama yuko very strict na hapendi mambo ya kona kona na ma rushwa rushwa yao.
Pale chamani kwao wanamuona ni mbahili na wanamwita mjamaa kwa kuwa yeye akichangia chama anaweka kwenye akaunti ya chama, wenzake wanatoa cash zinagawanwa hapohapo fasta.
Mama amegoma kuwa na kamati ya kampeni na kwa kisingizio hataki kugawa chama hivyo waroho wa fedha wanamwona mbanizi na anawaacha njaa tu.
Misaada ametoa vifaa na kukabidhi chama, serikali au wananchi direct hii inawanyima fursa kwani wengi walitegemea pesa ili wagawane kama kawa.
Mh Angellah anasaidia jamii na siyo mtu mmoja mmoja, waroho wa CCM wanataka misaada kwa ajili ya matumbo yao.
Huyu mama ni very smart and intelligent, siyo mtu wa kubabaika na kutaka kufurahisha watu, binafsi nashawishika kumpigia kura ikiwa CCM watampitisha.
 
Tatizo kubwa la Hilo Jimbo ni Lipi?
 
Rangi inambeba hata akikosa atapewa ubunge wakuteuliwa ilimladi mzee awe anajiponea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…