Angezungumza kama alivyozungumza Emmanuel Nchimbi angepungukiwa nini?

la muhimu zaidi ni kwamba,
Amani ya Tanzania tutailinda kwa Gharama yoyote πŸ’
Huwezi kulinda watu 60 kwa kutugemea vyombo vya ulinzi huku ukiwakamata na kuwaua kama kuku...haijawahi kufanikiwa....ni suala la muda tu
 
WASIWE NA DOUBLE STANDARDS SASA,AKIWA MWANAKONDOO WANAINAMISHA VICHWA CHINI HAWAMBWAMBIII...AKIWA MVAA KOBAZI MIWARAKA KIBAAOOO...
 
WASIWE NA DOUBLE STANDARDS SASA,AKIWA MWANAKONDOO WANAINAMISHA VICHWA CHINI HAWAMBWAMBIII...AKIWA MVAA KOBAZI MIWARAKA KIBAAOOO...
Mwanakondoo yupi ambaye aliinamiishiwa kichwa chini? Unafikiri BAKWATA wale?
 
NCHIMBI siyo sawa na SAMIA hao ni watu wawili tofauti
 
Kwa vp make watu wanatekwa wanauwawa au ndo kulinda uko!
Licha ya changamoto zozote zile za kisiasa au za kiusalama ambazo ni jambo la kawaida sana dunia nzima,

Amani ya Tanzania italindwa kwa nguvu na gharama zote bila mbambamba yoyote gentleman, upende usipende πŸ’
 
la muhimu zaidi ni kwamba,
Amani ya Tanzania tutailinda kwa Gharama yoyote πŸ’
Amani au uoga wa waTanzania mtaulinda kwa gharama yoyote? Kizazi kimebadilika hiki, sio kile cha kusujudia viongozi majizi kwa kichaka cha amani.
 
Watu wanaomzunguka huwa wana screenshort comments za akina Lucas Mwashambwa , ChoiceVariable na wenzao na kumpelekea kumuonyesha anavyokubalika mitandaoni. Siku hizi hawamruhusu aiongie mwenyewe mitandaoni wakimdanganya kuwe eti siku hizi pagers zinaripuka
 
PENGO ALIONGEA CHOCHOTE??KKKT ILIONGEA NINI KIPINDI KILE??

ACHENI DOUBLE STANDARDS KAMA KWELI MNAMAANISHA
Ingiia youtube ndugu yangu....sisi wagalatia tunakumbuka Serikali ya Magufuli ilichanwa mara za kutosha
 
kuku wako fuga huko huko bandani kwako,

Amani ya Tanzania italindwa kwa gharama yoyote upende usipende πŸ’
Kama gharama ni kutoa uhai wa wapinzani na wakosoaji wa serikali hata nyinyi mnaojiona mmeshikilia mpini uhai wenu utatolewa tu ....ni suala la muda
 
Amani au uoga wa waTanzania mtaulinda kwa gharama yoyote? Kizazi kimebadilika hiki, sio kile cha kusujudia viongozi majizi kwa kichaka cha amani.
serikali makini na madhubuti sana ya Dr. Samia Suluhu Hassan, haipuzii wala kuleta mzaha kwenye kitisho cha Amani ya nchi hata kama ni cha mlevi, mvuta bangi au mwenye shida ya akili..

atadhibitiwa kwa nguvu ya kiwango kile kile kama atakavyodhibitiwa kibaka, jambazi na muhalifu atakaethubutu kushiriki maandamano haramu ya Chadema πŸ’
 
Kama gharama ni kutoa uhai wa wapinzani na wakosoaji wa serikali hata nyinyi mnaojiona mmeshikilia mpini uhai wenu utatolewa tu ....ni suala la muda
kwenye suala la umoja, amani na utulivu wa wananchi wa waTanzania hakuna mpini wala jembe,

Jembe na mpini wake vikatumike shambani kwaajili ya uzalishaji gentleman πŸ’

kumbuka,
tunalinda amani ya waTanzania, sio hao wapinzani au kikundi Fulani cha watu ni amani ya waTanzania wote bila kujali vyama, ukabila au dini zao πŸ’
 
Unafikiri kilichokuleta mitandaoni tena kwa ID ya kujificha ni kipi? Si kwasababu huko ground wewe ni mwenzao hali ni mbaya lakini unawang'ing'a na ili kuwasifu unalazimika kutumia ID fake ?
Hali ni mbaya? Hali gani hiyo mbaya? Mitandaoni ni sehemu yangu ya burudani na kuwachora kama sio kuwacheka mnaojifariji humu jf,sawa tuu na Mafuriko ya Lowasa mitandaoni πŸ€ͺπŸ€ͺ

Wapiga kura wako Mitaani na ni Hawa hapa πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C_8QrndITIq/?igsh=bWEzbjNiMGpieXVn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…