Angezungumza kama alivyozungumza Emmanuel Nchimbi angepungukiwa nini?

Ni kweli kabisa, maana hata Nchimbi aliwataja. Lakini hakuna kelele kutokana na lugha aliyotumia.
Sema tangu January apishane na bi mdashi umegeuka kuwa mkosoaji
 
Hakuna kima wa kumpangia Rais Cha kuzungumza ,SSH ni Rais sio Katibu Mkuu.

Mwisho hakuna wa kutupangia jinsi ya kutawala eleweni Hilo.
 
Jana nimeandika shiti nyingi kwenye mitandao ya kijamii kiufupi nilichafukwa na ile hotuba

Mkiona nipo kimya sana mjue tayari washaninyakua
 
Uwezo wa mwanamke kuongoza ni mdogo sana, Angalau akiwa na akili na msomi kama Asharose Migiro, Marry Nagu na kina Tibaijuka, Sasa huyu mwenye elimu ya kuunga unga ndiyo bure kabisa
 
Nime pewa nafasi na Mungu kuishi kwenye tawala za marais wote. Kuanzia Mwalimu, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magu na sasa Mama wa Kizimkazi, niseme tuu ukweli toka moyoni, sijawahi kumsikia rais alie toa hutuba mbovu kama ya huyu mama wa Kizimkazi.
Sijui kama labda hakuipitia kabla ya kuhutubia au alifanya vile akidhani ni hotuba konki.
Ati kifo ni kifo, ati wasi nipangie, mara mimi ni amiri jeshi mkuu, ni nani asie jua yeye ni amiri jeshi mkuu na rais wa nchi? Mara wame ota mikia, mara wengine walitoroka nchi wana hamu ya kutoroka tena.
Alisha wahi kutuambia katiba ni kijitabu, jana a a sema ana ongoza kwa mujibu wa katiba. Yaani jana hutuba yake ilikuwa vurugu vurugu.. Mungu tusaidie.
 
nyie wajinga sana. juzu humu mulimponda Nchimbi kuwa kaongea ovyo.leo hii kawa mwema tena? sasa wekeni miguu yeno barabarani tuwatoe bandama zenu ili mjue nchi inalindwa kwa gharama yoyote
 
c
Kufa ni lazima bro. Wacha mama akate watu mikia. Na huu utekaji na mauwaji inawezekana inafanywa chadema ili wapate cha kuandamana na kufanya vurugu. Mbowe achunguzwe
chagadema wameona hawana ajenda. maana mama anakasi kubwa ya maendeleo.
 
Yaani mimi Jana nimeshangaa ile hotuba sikutegemea itoke kwa Raisi Samia kwa kweli ,uongozi ni kuvumilia mengi na kuwa na busara.Jana nime mwandika offf kabisa anyway ile sio hotuba kwa kweli hata kwenye vikoba tunajitahidi ujue.Halafu ukiona "baba" mwenye nyumba anaanza kujitambulisha nyumbani kwake ujue kuna kazi hata first born anaongoza nyumba yake wala sio hata mke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…