Yakki Kadaf
Member
- Jan 8, 2023
- 29
- 107
Kanisa la Anglican Tanzania ambao ndio wamiliki wa shule ya Sekondari Bunda Girls iliyopo wilayani Bunda mkoani Mara fanyeni uchunguzi wa kina kuhusu shule yenu.
Kwanza ni tatizo la uongozi, mkuu wa shule kwa sasa ni binti mdogo sana ambaye bado ana mihemko sana. 95%ya walimu hawampendi ila hawana namna maana yeye ni kama mmiliki.
Mfano ugomvi wake binafsi na mwalimu wa somo la kiswahili(wote jinsia ke) umepelekea mwalimu wa somo la kiswahili kutupiwa virago mwaka huu.
Mkuu wa shule ana jeuri kwa nguvu ya baba yake ambaye ana ushawishi ndani ya kanisa na pia kawahi kushika nyadhifa ya ukuu wa shule kwenye shule mbali mbali zilizo chini ya kanisa. Pili kuna harufu ya ukabila.
Hili sitaliongea sana ila fanyeni uchunguzi wa kina vinginevyo shule inaenda kuanguka. Pateni somo namna shule za Olympus, Ellys, Nui na Mkwezi zilivyokuwa bora na maarufu na zilipo hii leo!