Ang'oa mrembo mhudumu wa Betting baada ya kushinda milioni 36 za Mkeka

Ang'oa mrembo mhudumu wa Betting baada ya kushinda milioni 36 za Mkeka

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu,

Mwana kang’oa pisi kali

Jamaa mmoja kutoka Uganda ana-trend baada ya kushinda milioni 36 kwenye betting. Baada ya ushindi huo, mhudumu wa mapokezi katika kituo cha betting aliamua kuacha kazi yake mara moja na kuwa mpenzi wake, kisha wakaondoka pamoja.
IMG_0529.jpeg

IMG_0531.jpeg

Pia, Soma: Mchungaji afunga Kanisa baada ya kushinda Milioni 100 za kubeti
 
Halafu baadae akishafulia unajiimbia " kama kupendaaa, bora nimpende mama yanguu"
 
Back
Top Bottom