zambia wanajiamini mno.Zambia kama wakiweza kucheza na speed kama hii second half wanaweza kushinda.......lakini wasiwe nguvu za soda tu kucheza one half......
Tunisia wamesha soma mchezo.speed ya zambia naikubali.....wish waendelee hivihivi
Sijui kuna nini.TZ naona hata linesmans/marefa hawaku'qualify'. Maana naona waamuzi kutoka rwanda, uganda etc. lakini siyo TZ
Sijui kuna nini.
Labda watakuwepo baadaye.
Labda wale wa Tanzania ni professional sana, wanasubiriwa kuchezesha nusu fainali.Kweli Chief - bado inaezekana - lakini ktk hatua hii ya makundi tu. Baada ya hapa sidhani
Wataalamu toeni ushauri haraka.Bado dakika 16Jamani naomba msaada, mbona mimi kwangu hiyo screen inakuwa imekwama tuu most of the time, nifanyaje nione hio game vizuri