Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

Zambia kama wakiweza kucheza na speed kama hii second half wanaweza kushinda.......lakini wasiwe nguvu za soda tu kucheza one half......
 
TZ naona hata linesmans/marefa hawaku'qualify'. Maana naona waamuzi kutoka rwanda, uganda etc. lakini siyo TZ
 
Jamani naomba msaada, mbona mimi kwangu hiyo screen inakuwa imekwama tuu most of the time, nifanyaje nione hio game vizuri
 
Tunisia wanaonekana ndio wenye kuweza kufunga goli wakti wowote. Zambia wameamua kucheza kwa ajili ya kutoa sare.

Lakini battle ipo katika sehemu ya kiungo. Ila Zambia bila ubishi wanatawala mchezo, naona zimebakia dakika chache sana, Kalaba na Mulenga wanastahili sifa.
 
Back
Top Bottom