Majirani wetu basi tena .. Ila yule left back wa Angola anayefanana na Savimbi aliyetoa takrima siku ile ya Mali yupo. Anaweza kuwatakrimia Malawi.
WAZEE MECHI YA GHANA NA IVORY COAST vipi?
kama kawaida baada ya sekunde chache wakuu wanashuka dimbani
mzee saa tatu hiyo....!
Wakuu any link???,msaada pliiiiiiiz
Sijui link mkuu lakini kwa wale wanaoweza kupata skysports wako LIVE.
Goal! Ivory coast 1 ghana 0