Timu ambazo ziliweza kuleta heshima ya soka kwa Afrika kwenye world cup ni mbili Cameroon na Algeria. Misri walitukatisha tamaa walipokwenda mara ya kwanza na kukiri kwamba walikuwa wanacheza huku wakijua hawatashinda kwa hiyo ilikuwa ni kazi bure, SA walikuwa bad losers, Nigeria wakishavuka over 20 fweza zinawakwaza wanasahau kucheza mpira wanakuwa kama Chelsick.
Ivory Cost unknown quantity, Angola wanategemea baraka za CAF kushinda, Ghana na Zambia bado hawajakomaa kwenye mashindano haya. Watchout hizo timu mbili kwenye mashindano ya world cup hii CAF ni warm-up tu.