Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

Zambia 1 Gabon 0

Kwa result hizi mpaka sasa Tunisa na Zambia wanakwenda robo finali
 
Half time

Tunisia 1 Cameroon 0

Zambia 1 Gabon 0
 
Zambia 2 Gabon 0

Tunisia 2 Cameroon 1

Wamejifunga Cameroon wenyewe
 
Cameroon 2 Tunisia 2

Kazi ipo hapo.....


Kwa result hizi Cameroon na Zambia zinakwenda robo finali....
 
Mechi za robo finali..

Angola VS Ghana

Algeria VS Ivory Coast

Egypt VS Zambia

Cameroon VS Nigeria
 
Timu ambazo ziliweza kuleta heshima ya soka kwa Afrika kwenye world cup ni mbili Cameroon na Algeria. Misri walitukatisha tamaa walipokwenda mara ya kwanza na kukiri kwamba walikuwa wanacheza huku wakijua hawatashinda kwa hiyo ilikuwa ni kazi bure, SA walikuwa bad losers, Nigeria wakishavuka over 20 fweza zinawakwaza wanasahau kucheza mpira wanakuwa kama Chelsick.

Ivory Cost unknown quantity, Angola wanategemea baraka za CAF kushinda, Ghana na Zambia bado hawajakomaa kwenye mashindano haya. Watchout hizo timu mbili kwenye mashindano ya world cup hii CAF ni warm-up tu.
 
_47160519_tun1766.jpg

Idriss Carlos na goli la haraka haraka
 
Back
Top Bottom