Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angola 4 - Mali 1 dakika ya 80 inaelekea
Hahahaha!
What a game... Angola 4 - Mali 4.... 4 minutes added time.
Angola was leading by 4 goals and never expected this!
Unbelievable ...
Wakuu mmekubali mpira unadunda?4-3 na bado dakika 2 wanaweza kurudisha hawa
Huyo mtangazaji mbona humsemi (kaitaja comeback ya Liverpool)....Ebanae baada ya angola kufunga goli nne nilikuwa nishawahesabu Mali out duh kweli mpira una dunda.....he he he...mpira hauna adabu hata kidogo!
halafu Eqlypz mbona tunatoana mood na ushabiki wa Manure sasa?
Go Mali Go!...
...ha ha haa...
Togo watabakia kujiuma meno kwanini wamejitoa!
Mali wameingia michuano hii wakiwa ni 'underdogs' fulani hivi Compared na 'hot favourites' Angola. Matokeo mazuri sana haya...
Safi sana!
...
Mali ..ni 'underdogs' fulani hivi Compared na 'hot favourites' Angola.
Angola ni hot favorites kwa namna gani? Imejaza mediocre players labda ukitoa Manucho na Flavio. Mali yenye akina Diarra, Kanoute, Keita, Traore, Sissoko itakuwaje underdogs?