Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

Malawi 3 Algeria 0 dakika ya 85; another native coach kaitoa malwi from namba 136 mpaka 58... Yaani hawa akina Bwino wametawala mpira na wanacheza very good football, dk ya 80 wamefanya sub ya kuondoa midfield na kuweka striker just to show how attacking minded they are

Yes we can
 
habari mbaya tu kwa aljeria na Africa kwa ujumla..jamaa kwa kiwango cha leo inabidi wa improve sana maana world cup karibuni sana.
 
Full time Malawi 3 Algeria 0...

Malawi anaongoza group lake sasa what a suprise!
 
Malawi have been together since second of december... hii inaonyesha faida ya kukaa kemp mapema

Ni habari mbaya kwa africa maana hao ndio wawakilishi wetu kombe la dunia
 
Bora watoke mapema waende wakijiandae uzuri na world cup.....
 
Hi match ya sasa hivi itakuwa nzuri......Ivory Coast VS Borkina Faso...
 
wakuu nimeangalia quality ya pitch za angola naona zimefulia... ile ya mechi ya malawi ilikuwa mbaya hadi mpira unachange direction; na hii ya mpira wa sasa nayo feki kweli, its dangerous kwa wachezaji waliozoea viwanja vizuri
 
i have watched a rather bad game with few intelligent soccer... no wonder we were only beaten one nil
 



Drog the Bar hakufua dafu kwa vijana wa Burkinabe.


Malawi ambao walikuwa hawapewi mategemeo kabisa wametoka kidedea. BRAVO Malawi pamoja na kuwa mnashika mkia kwenye umasikini.

Sisi bongo bado tunawalipa kina RA na Sin bin Clair.
 
Hawa akina Drogba wamecheza mpira mbovu kama nini leo

Yaani the wamecheza one style footbal mpaka game imeisha, i saw no tactics change au anything... Mwakilishi wa pili wa Africa kwenye world cup anatuangusha

Lets see Ghana, NIgeria and Cameroon
 
Yaani the wamecheza one style footbal mpaka game imeisha, i saw no tactics change au anything... Mwakilishi wa pili wa Africa kwenye world cup anatuangusha

Lets see Ghana, NIgeria and Cameroon

Bingwa ni kati ya Ghana na Nigeria,karata naitupa kwa Ghana zaidi maana wana vijana wazuri,wamewachukua zaidi wale waliochukua World Cup ya U20
 
_47089011_sanudi_ap766.jpg



Golikipa wa Malawi akifanya kweli
 
_47089230_banda_getty766.jpg


David Banda alikuwa na kazi moja tu ya kuweka goli la tatu.
 
Back
Top Bottom