Angola 2010: Africa Cup of Nations updates




Mambo ya Malawi hayo. Belhadji ulimi nje nje akitafuta kifutia machozi.
 

Mimi mpaka juzi Malawi sikuwa nawapa nafasi lakini baada ya dozi ya leo hmmm kuna kazi!!
 
Naisubiria hiyo mechi ya Nigeria na Egypt natumaini itakuwa ya kuburudisha.
 
Todays Match

Egypt VS Nigeria

Mozambique VS Benin
 
Mpira Nigeria dakika 55 Nigeria 2 Egypt 1.
 
Duh goli zuri sana....

Nigeria 1 Egypt 0
 
Wewe unaangalia mechi ya mwaka gani? Mpira ndio kwanza dakika ya 20
Nigeria 1
Egypt 0

Naona attendance mzozo.

Mkuu huna 'decoda' ya hii phrase yangu. Omba wa2 wakusaidie ku-dikodi!
 
Nigeria wanakosa goli kurudi wanafungwa wao...

Ngoma draw sasa 1-1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…