Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

keita kapiga foul 18 lakini unatoka nje,DK ya 48 mali wanafanya mashambulizi .kipa anaokoa
 
CAF wanatia aibu na mikadi yao ya substitution..wameshindwa kununua za elektronics? wanatumia kalenda.
vijec vya angola havina utani
 
dk 63 mali wanaumiliki mpira kwa dk kama 1 hivi...madrid kashampiga mtu 2
 
Angola 3 Mali 0

Mpaka first lady kafurahi anacheza....
 
Mali kurudi kwenye hii mechi kazi.
Hivi timu zote za afrika zinazofanya vizuri zina makocha wa kigeni?
 
_47079333_angolavmali2466.jpg

Kishindo cha Palancras Negras

Flavio alipofunga goli la kwanza
 
CAF wanatia aibu na mikadi yao ya substitution..wameshindwa kununua za elektronics? wanatumia kalenda.
vijec vya angola havina utani

Walikuwa wamesahau kulicharge board naona dakika za mwisho limeonekana....
 
Back
Top Bottom