Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

Sasa hivi Ghana inafanya kazi ya kuosha tu, Nigeria ulimi nje! Naona kama wanakaribia kurudisha
 
Dakika 4 zilizoongezwa nazichukia... Am biased kwenye hii match, napenda Ghana ishinde tuuuu
 
A few seconds, Nigeria got a corner, and they did not use it effectively!

It's over guys.... We won!
 
I now can recall Jay Jay Okocha!

Okocha.jpg
 
hivi huyu Shaibu ana matatizo gani?maana mm nilikuwa naona Martins alitakiwa atolewe mapema tu
 
...kama uzoefu unavyoonyesha, Ghana wamefuzu,...sasa bado Misri japo kiukweli nataka Algeria wawaumbue hawa mafarao!...
 
I now can recall Jay Jay Okocha!

Okocha.jpg

I miss him! Lakini nimefuatilia hii michiaon na kuna star in making kwenye timu ya watoto (Ghana).. Ni yule # 10 Asamoah. Anaweza kuwa Okocha mpya.
 
Second semifanil soon to start

Egypt (Phraos) VS Algeria (Desert Foxes)

Naona Angola wamejazaa FFU uwanjani....
 
Back
Top Bottom