Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

_47203846_ayew_sarpei.jpg

_47203297_ghana_goalcelebrate.jpg
 
If i am givn a chance to talk to EGYPTIAN team i will ask them why the hell do they like play acting.
Look at egyptian keeper head-butting algerian player and then lying down as if he was injured!
Non sporting behaviour ths is!
 
Huyu refer anawaminya sana Algeria....sio penalty hii..........sasa hivi ndio anakumbuka kutowa kadi...keshaharibu mechi refer huyu
 
Huyu refer anawaminya sana Algeria....sio penalty hii..........sasa hivi ndio anakumbuka kutowa kadi...keshaharibu mechi refer huyu

...dah, kipa wa Algeria kampiga kichwa refa? ama kweli...! bahati yake kaambulia yellow card tu.

hawana adabu kumbe hawa?
 
Huyu refer anawaminya sana Algeria....sio penalty hii..........sasa hivi ndio anakumbuka kutowa kadi...keshaharibu mechi refer huyu

Mkuu sio hivyo tu, umeona mpigaji penalty alivyo hesitate? sijui kama inaruhusiwa ile maana hata commentators wameshangaa
 
Huyu ref kaharibu game,kwenye timu pinzani kama hizi unatakiwa kuwa mwangarifu sana, ona sasa keshaharibu ladha ya game. Hiyo penalty ilitakiwa kurudiwa kwa jinsi huyu mchezaji alivyosubiri mpaka kipa kaenda chini ndio akapiga.
 
...dah, kipa wa Algeria kampiga kichwa refa? ama kweli...! bahati yake kaambulia yellow card tu.

hawana adabu kumbe hawa?
Hata kama ungekuwa wewe kwa jinsi ref alivyofanya vile usingechukia?
 
Keshaiharibu sana gamu refer huyu.....na sijui kama hakuna kadi nyengine ya red kwa Algeria leo............Sasa naanza kumuamini yule jamaa alosema humu kama hawa Egypt wanabebwa........
 
Mkuu sio hivyo tu, umeona mpigaji penalty alivyo hesitate? sijui kama inaruhusiwa ile maana hata commentators wameshangaa

...aah, Christiano Ronaldo nishaona anafanya hivyo kila mara na anaachiwa...
 
Poor Algerians! safari imeiva very dissapointed siwapendi hawa wa misri watufunga yanga!
 
Red card kwa mchezaji wa Algeria

Very very harsh 4m th referee, spoiling our good game.

Ndo maaana hii mirefa ye2 ya africa hatuioni ikichezesha game ngumu za stage za mwisho za world cup.
Refa hana hata aibu. Ile yellow ya kwanza haikua yellow. Penati haikua penati, na 2nd yellow juu? Huu ni uonevu. Refa hajiamini! Refa gani
 
Mkuu sio hivyo tu, umeona mpigaji penalty alivyo hesitate? sijui kama inaruhusiwa ile maana hata commentators wameshangaa
Miafrika ndivyo tulivyo huyu ref hajafata sheria 17 za mpira naona kama vile kapewa maelekezo kabla ya kuingia uwanjani,hii machi imepangwa na matokeo yamekwisha julikana tayari.
 
Back
Top Bottom