Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,861
Nieleweshe basi chief, kwanini hawafugi ndevu?!
...aaah, usitake 'watu wa vitabu' wavamie kwenye jukwaa la michezo pia. haya tuyaache huko huko 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nieleweshe basi chief, kwanini hawafugi ndevu?!
Kama unamshabikia Nadal hapo tuko pamoja....na Ghana pia.
Yeah, mpaka inaboa kila gazeti na tv ni Andy Murray tu....halafu jamaa ni wanafiki sana hawa Murray akifanya vizuri wanapiga dege la British lakini akichemsha....that Scottish guy...hahahaha! Anyway, japo simfagilii sana Fed naomba tu ashinde ili tuepuke hii hype!Naam, naaam,
..kampa mdomo huyu dogo Andy Murray kuingia fainali,...hatulali hapa... kila station ya TV hiyo ndio headline news, phoooaaaawww!
I hope Federer atamtoa nishai kwenye fainali, maana haaminiki naye siku hizi.
Kama unamshabikia Nadal hapo tuko pamoja....na Ghana pia.
from the first day baada ya game za kwanza kuisha nilitabiri Ghana kucheza fainali - so lazima niwe recognised kama mtabiri mkuu hapa JF sports.
Kama unabisha search comment yangu utaona.
Mie namshabikia Tsonga bwana awafunge wote hawa wamezidi.
...aaah bana, haya sasa Tsonga kasongeshwa!...
Jumapili tulivu hii wallah!...siku nzima nakesha na TV!
Naamkia 'Australia';
Federer Vs Murray
kisha 'Imarati';
Arsenal Vs Manure
namalizia na 'Angola';
Ghana Vs Egypt
Hapo nilipoweka red utabidi uchaguwe moja mana both matches zinachezwa same time kesho
Togo will be suspended from the next two editions of the African Nations Cup after the African Football Confederation (CAF) condemned the governmental interference that led to their withdrawal from this year's tournament.
...aaah bana, haya sasa Tsonga kasongeshwa!...
Jumapili tulivu hii wallah!...siku nzima nakesha na TV!
Naamkia 'Australia';
Federer Vs Murray
kisha 'Imarati';
Arsenal Vs Manure
namalizia na 'Angola';
Ghana Vs Egypt
Tsonga hata kabla ya mechi kaogopa stupid boy! Sasa huyu Murray kesho sijui itakuwaje maana tumechoka na hype za BBC na sky. Fainali ya mwaka huu hata siangalii maana Fedex express alivyolia mwaka jana kama katoto kachanga vile. Mie kesho siangalii bwana nitatazama matokeo.
Angalia the Williams to date 32 grand slams halafu hawawapi credit at all.
Referee: Koman Coulibaly (Mali)
Huyu refa asiharibu mpira tu.