Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

Kama unamshabikia Nadal hapo tuko pamoja....na Ghana pia.

Naam, naaam,

..kampa mdomo huyu dogo Andy Murray kuingia fainali,...hatulali hapa... kila station ya TV hiyo ndio headline news, phoooaaaawww!

I hope Federer atamtoa nishai kwenye fainali, maana haaminiki naye siku hizi.
 
Yeah, mpaka inaboa kila gazeti na tv ni Andy Murray tu....halafu jamaa ni wanafiki sana hawa Murray akifanya vizuri wanapiga dege la British lakini akichemsha....that Scottish guy...hahahaha! Anyway, japo simfagilii sana Fed naomba tu ashinde ili tuepuke hii hype!
 
Mie namshabikia Tsonga bwana awafunge wote hawa wamezidi.
 
Kama unamshabikia Nadal hapo tuko pamoja....na Ghana pia.

Hapa tupo pamoja..Nami pia ni Nadal na Ghana..Nasikilizia tu hiyo Jumapili sijui nitafurahi(Luanda na Imarati) though nina uhakika wa ushindi pale Imarati
 
_47204273_egypt766.jpg

_47204294_zidan_766.jpg

_47204311_abdelshafi766.jpg

_47204295_belhadj341.jpg
 
from the first day baada ya game za kwanza kuisha nilitabiri Ghana kucheza fainali - so lazima niwe recognised kama mtabiri mkuu hapa JF sports.

Kama unabisha search comment yangu utaona.
 
from the first day baada ya game za kwanza kuisha nilitabiri Ghana kucheza fainali - so lazima niwe recognised kama mtabiri mkuu hapa JF sports.

Kama unabisha search comment yangu utaona.

Khe khe khe tuna yahaya mwingine hapa khe khe
 
Mie namshabikia Tsonga bwana awafunge wote hawa wamezidi.

...aaah bana, haya sasa Tsonga kasongeshwa!...
Jumapili tulivu hii wallah!...siku nzima nakesha na TV!

Naamkia 'Australia';
Federer Vs Murray

kisha 'Imarati';
Arsenal Vs Manure

namalizia na 'Angola';
Ghana Vs Egypt
 
Hapo nilipoweka red utabidi uchaguwe moja mana both matches zinachezwa same time kesho
 
Hapo nilipoweka red utabidi uchaguwe moja mana both matches zinachezwa same time kesho

..bora imarati 😀

Breakin News; Togo wamefungiwa kushiriki African cup of nations kwa miaka miwili.

http://goal.com/en/news/815/african...-cup-togo-suspended-from-next-two-tournaments

Togo will be suspended from the next two editions of the African Nations Cup after the African Football Confederation (CAF) condemned the governmental interference that led to their withdrawal from this year's tournament.
 
Third place.....

second half

Nigeria 1 Algeria 0
 
...aaah bana, haya sasa Tsonga kasongeshwa!...

Jumapili tulivu hii wallah!...siku nzima nakesha na TV!

Naamkia 'Australia';
Federer Vs Murray

kisha 'Imarati';
Arsenal Vs Manure

namalizia na 'Angola';

Ghana Vs Egypt

Tsonga hata kabla ya mechi kaogopa stupid boy! Sasa huyu Murray kesho sijui itakuwaje maana tumechoka na hype za BBC na sky. Fainali ya mwaka huu hata siangalii maana Fedex express alivyolia mwaka jana kama katoto kachanga vile. Mie kesho siangalii bwana nitatazama matokeo.

Angalia the Williams to date 32 grand slams halafu hawawapi credit at all.
 
...aaah, Historia pekee itawapa haki yao. Ninachowapendea kina William sisters wamewafunika wacheza tennis wote wa kike waliotangulia... kuanzia kina Davenport, Hingis, Kournikova, Sharapova, Clisters, Henin na wengineo... One more slam, Serena atakuwa all time greatest!...

dua zangu zote zipo kwa Federer kesho, I hope Ghana watashinda ila mnnnhh...otherwise, macho na masikio Imarati.

Africa cup ndio byebye hiyo, ..overshadowed na Togo lakini binafsi roho shwari Ivory Coast haikuambulia hata nafasi ya tatu,.. I hope Africa Cup of Nations 2012 Tanzania tutawakilishwa na sie 😀
 
Final Game

Egypt VS Ghana.

EGYPT TEAM: 1-Essam Al Hadari; 3-Ahmed Al Muhammadi, 6-Hani Said, 20-Wael Gomaa, 14-Sayed Moawad; 7-Ahmed Fathi, 8-Hosni Abd Rabou, 17-Ahmed Hassan, 12-Hossam Ghali; 9-Mohamed Zidan, 10-Emad Motaeb.

GHANA TEAM: 22-Richard Kingson; 12-Lee Addy, 7-Samuel Inkoom, 2-Hans Sarpei, 15-Isaac Vorsah; 19-Emmanuel Agyemang-Badu, 13-Dede Ayew, 9-Opoku Agyemang, 10-Kwadwo Asamoah, 6-Anthony Annan; 3-Asamoah Gyan.
 
Huyu refa asiharibu mpira tu.

Ana kesi kibao tayari....soma hiyo chini

The 39-year-old, officiating at his fourth Cup of Nations tournament and on the shortlist for the World Cup in June, has been involved in controversy in the past.

Coulibaly awarded Cameroon a disputed stoppage-time penalty in their final 2006 World Cup qualifier against Egypt in Yaounde that, had they converted, would have taken them through to the finals.
The kick was missed by Pierre Wome and Ivory Coast went to Germany instead.

There is also a Facebook page, set up by angry Tunisian fans, that calls for the referee's removal from FIFA's list following his displays in matches involving their team.

Coulibaly will be assisted by Evarist Menkouande of Cameroon and Morocco's Achik Redouane.
 
HIVI hii ya ya kuwapiga ban TOGO for the next 2 AFCON tournament imekaaje? nahisi hapa kuna udikteta flani umetumila

Yaani watu wamevamiwa, kuuawa and then wanatwishwa zigo la kufungiwa? I think this is not right at all
 
Back
Top Bottom