Angola: Dkt. Jakaya Kikwete wa Tanzania na Joaquim Chissano wa Msumbiji watoa tamko

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Marais Wastaafu Dkt. Jakaya Kikwete wa Tanzania na Joaquim Chissano wa Msumbiji kwa pamoja wameungana na Timu mbalimbali za Kikanda na za Kimataifa za Waangalizi wa Uchaguzi wa Angola kutoa tamko kuhusu Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo uliofanyika tarehe 24 Agosti 2022
IMG-20220827-WA0004.jpg
IMG-20220827-WA0000.jpg
IMG-20220827-WA0002.jpg
IMG-20220827-WA0001.jpg
 
Huyu jk huyu, hakika wabaya wake hawaamini.....vyupi vyawabana kupita maelezo!
 
Tiba Kuu ya Tezi Dume ni Kusafiri sana na Kutotulia sehemu Moja vinginevyo tukisema tutulie tu eneo moja tatizo linaweza Kujirudia na ukichanganya na Ugonjwa mwingine ulioshindikana na WHO hali inaweza kuwa mbaya zaidi na Maombolezo yakaanza.
 
Ila JK awe anatufundisha na wengine tactics za kuwakalisha haters...
Kwanini anaogopa sana Kusafiri Mikoa ya Mwanza na Geita ambako ndiko kuna Wasukuma wengi japo na Shinyanga, Simiyu na Tabora pia wapo?
 
Je lazima jk tu awepo ktk kila chaguzi,kwani hakunA wengine
 
Tiba Kuu ya Tezi Dume ni Kusafiri sana na Kutotulia sehemu Moja vinginevyo tukisema tutulie tu eneo moja tatizo linaweza Kujirudia na ukichanganya na Ugonjwa mwingine ulioshindikana na WHO hali inaweza kuwa mbaya zaidi na Maombolezo yakaanza.
Dali kimoko ugonjwa unapenda kuuzungumzia sana. Una database ya watu wenye nao?
 
Tiba Kuu ya Tezi Dume ni Kusafiri sana na Kutotulia sehemu Moja vinginevyo tukisema tutulie tu eneo moja tatizo linaweza Kujirudia na ukichanganya na Ugonjwa mwingine ulioshindikana na WHO hali inaweza kuwa mbaya zaidi na Maombolezo yakaanza.
Oh, kumbe huwa anajipangia tu kufanya analojisikia katika hizi organs za kimataifa, tena katika mambo serious km hz chaguzi?!!!!!! Nilikuwa sijajua.......

JK rudi baba, vyupi vya ghaters vyataka kuchuna mapaja yao huku!
 
Marais Wastaafu Dkt. Jakaya Kikwete wa Tanzania na Joaquim Chissano wa Msumbiji kwa pamoja wameungana na Timu mbalimbali za Kikanda na za Kimataifa za Waangalizi wa Uchaguzi wa Angola kutoa tamko kuhusu Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo uliofanyika tarehe 24 Agosti 2022

Mbona hujaweka tamko lenyewe sasa mkuu?
 
Oh, kumbe huwa anajipangia tu kufanya analojisikia katika hizi organs za kimataifa, tena katika mambo serious km hz chaguzi?!!!!!! Nilikuwa sijajua.......

JK rudi baba, vyupi vya ghaters vyataka kuchuna mapaja yao huku!
Siku hizi Dawa za Ugonjwa ulioshindikana na WHO inabidi uwe unazifuata katika nchi mbalimbali na siyo tu Kutegemea za Marekani, Uingereza, Afrika Kusini na kule zilikofichwa Pesa nyingi za Watanzania nchini Malaysia.
 
Back
Top Bottom