Angola: Dkt. Jakaya Kikwete wa Tanzania na Joaquim Chissano wa Msumbiji watoa tamko

Angola: Dkt. Jakaya Kikwete wa Tanzania na Joaquim Chissano wa Msumbiji watoa tamko

Marais Wastaafu Dkt. Jakaya Kikwete wa Tanzania na Joaquim Chissano wa Msumbiji kwa pamoja wameungana na Timu mbalimbali za Kikanda na za Kimataifa za Waangalizi wa Uchaguzi wa Angola kutoa tamko kuhusu Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo uliofanyika tarehe 24 Agosti 2022
View attachment 2335982View attachment 2335983View attachment 2335984View attachment 2335985
Upumbavu upumbavu tu,yaani hii Africa mpaka wenye akili watakapo amua kutoka hadharani ndio wajinga kama watakapoanza kuelewa nn maana ya uangalizi wa uchaguzi,zaidi ya hapo hakuna jipya watu wenyewe eti akina Kikwete.
 
Kwanini anaogopa sana Kusafiri Mikoa ya Mwanza na Geita ambako ndiko kuna Wasukuma wengi japo na Shinyanga, Simiyu na Tabora pia wapo?

Kwahiyo alale tu na kuamka aende Kanda ya ziwa hata kama hana la kufanya?, usilolijua, magod father wote na washenzi/mamafia wa kanda ta ziwa wanaogopeka huyo jamaa ndio washikaji zake na wengi ni washika dau wake.

Kila tycoon unayemjua wewe lake zone anayeogopeka basi hapo kwa jamaa ujue ni mtu wake kuanzia yule baba wa washenzi hapo akifuatiwa na namba mbili wake, tatu mpaka tano bado wale vidagaa kuanzia mapanga shaa mpaka katerelo.
 
Back
Top Bottom