Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Wote ni kikosi kazi maalum cha kuchakata kura, hivyo hakuna jipya.Marais Wastaafu Dkt. Jakaya Kikwete wa Tanzania na Joaquim Chissano wa Msumbiji kwa pamoja wameungana na Timu mbalimbali za Kikanda na za Kimataifa za Waangalizi wa Uchaguzi wa Angola kutoa tamko kuhusu Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo uliofanyika tarehe 24 Agosti 2022
View attachment 2335982View attachment 2335983View attachment 2335984View attachment 2335985
Tiba Kuu ya Tezi Dume ni Kusafiri sana na Kutotulia sehemu Moja vinginevyo tukisema tutulie tu eneo moja tatizo linaweza Kujirudia na ukichanganya na Ugonjwa mwingine ulioshindikana na WHO hali inaweza kuwa mbaya zaidi na Maombolezo yakaanza.Huyu jk huyu, hakika wabaya wake hawaamini.....vyupi vyawabana kupita maelezo!
Ila JK awe anatufundisha na wengine tactics za kuwakalisha haters...Huyu jk huyu, hakika wabaya wake hawaamini.....vyupi vyawabana kupita maelezo!
Kwanini anaogopa sana Kusafiri Mikoa ya Mwanza na Geita ambako ndiko kuna Wasukuma wengi japo na Shinyanga, Simiyu na Tabora pia wapo?Ila JK awe anatufundisha na wengine tactics za kuwakalisha haters...
Dali kimoko ugonjwa unapenda kuuzungumzia sana. Una database ya watu wenye nao?Tiba Kuu ya Tezi Dume ni Kusafiri sana na Kutotulia sehemu Moja vinginevyo tukisema tutulie tu eneo moja tatizo linaweza Kujirudia na ukichanganya na Ugonjwa mwingine ulioshindikana na WHO hali inaweza kuwa mbaya zaidi na Maombolezo yakaanza.
Oh, kumbe huwa anajipangia tu kufanya analojisikia katika hizi organs za kimataifa, tena katika mambo serious km hz chaguzi?!!!!!! Nilikuwa sijajua.......Tiba Kuu ya Tezi Dume ni Kusafiri sana na Kutotulia sehemu Moja vinginevyo tukisema tutulie tu eneo moja tatizo linaweza Kujirudia na ukichanganya na Ugonjwa mwingine ulioshindikana na WHO hali inaweza kuwa mbaya zaidi na Maombolezo yakaanza.
Marais Wastaafu Dkt. Jakaya Kikwete wa Tanzania na Joaquim Chissano wa Msumbiji kwa pamoja wameungana na Timu mbalimbali za Kikanda na za Kimataifa za Waangalizi wa Uchaguzi wa Angola kutoa tamko kuhusu Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo uliofanyika tarehe 24 Agosti 2022
Duh !!! Jecha in the Ring ? !!Wote ni kikosi kazi maalum cha kuchakata kura, hivyo hakuna jipya.
Kabisa aisee, maana nasi huku uswahilini tuna vihaters vyetu si mbaya tukapata mbinu ya kuwakalisha..Ila JK awe anatufundisha na wengine tactics za kuwakalisha haters...
Maraisi wastaafu tena wezi wa kura lazima wasifie ujinga tuWote ni kikosi kazi maalum cha kuchakata kura, hivyo hakuna jipya.
JK anazidi kushamili tu alikuwa Kenya sasa AngolaMarais Wastaafu Dkt. Jakaya Kikwete wa Tanzania na Joaquim Chissano wa Msumbiji kwa pamoja wameungana na Timu mbalimbali za Kikanda na za Kimataifa za Waangalizi wa Uchaguzi wa Angola kutoa tamko kuhusu Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo uliofanyika tarehe 24 Agosti 2022
View attachment 2335982View attachment 2335983View attachment 2335984View attachment 2335985
Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person MINOCYCLINE.Dali kimoko ugonjwa unapenda kuuzungumzia sana. Una database ya watu wenye nao?
Wapendeni adui zenu; watakieni heri wanaowachukiaKabisa aisee, maana nasi huku uswahilini tuna vihaters vyetu si mbaya tukapata mbinu ya kuwakalisha..
Siku hizi Dawa za Ugonjwa ulioshindikana na WHO inabidi uwe unazifuata katika nchi mbalimbali na siyo tu Kutegemea za Marekani, Uingereza, Afrika Kusini na kule zilikofichwa Pesa nyingi za Watanzania nchini Malaysia.Oh, kumbe huwa anajipangia tu kufanya analojisikia katika hizi organs za kimataifa, tena katika mambo serious km hz chaguzi?!!!!!! Nilikuwa sijajua.......
JK rudi baba, vyupi vya ghaters vyataka kuchuna mapaja yao huku!