Angola: Upinzani wawasilisha pingamizi la kisheria dhidi ya matokeo ya uchaguzi Mkuu

Angola: Upinzani wawasilisha pingamizi la kisheria dhidi ya matokeo ya uchaguzi Mkuu

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Chama Kikuu cha upinzani UNITA, kimewasilisha pingamizi la kisheria dhidi ya matokeo ya uchaguzi Mkuu wa Agosti 24 wa wiki iliyopita na kusema kuwa Uchaguzi huo ulikuwa na dosari

Chama tawala cha MPLA - ambacho kimekuwa madarakani tangu 1975 - kilitangazwa kuwa mshindi wa Uchaguzi huo kwa ushindi wa zaidi ya 51% ya Kura zote

Afisa mkuu wa Chama hicho , Faustino Mumbika, amesema hawatambui Matokeo hayo na wamewasilisha malalamiko yao kwa Tume ya Kitaifa ya Uchaguzi na wanasubiri maamuzi

...........................................

Angola's biggest opposition party, Unita, says it has filed a legal challenge against the results of last week's election.

The governing MPLA party - which has been in power since 1975 - was declared the winner of the vote, although with a reduced majority.

A senior Unita official, Faustino Mumbika, told the French news agency that a complaint was filed with the National Electoral Commission on Thursday.

Unita - which achieved its best ever election result - has said the poll was marred by irregularities.

Source: BBC
 
Kila mahali anapokwenda kikwete kuwa msimamizi wa uchaguzi lazima kutakuwa na matatizo. Hii ina maana tz tuna mlima mkubwa sana wa kupanda
 
Back
Top Bottom