DeMostAdmired
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 1,579
- 3,798
Nothing lasts foreverKama ni kusubiria anguko la chama dola, na kuhakikishia utasubiri sana kwasababu CCM sio tuu ni chama cha siasa, ni chama dola, ni dola!. CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola!
P
Achilia mbali "chama dola", hata dola yenyewe huanguka na kupotea kabisa...Kama ni kusubiria anguko la chama dola, na kuhakikishia utasubiri sana kwasababu CCM sio tuu ni chama cha siasa, ni chama dola, ni dola!. CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola!
P
Kama ni kusubiria anguko la chama dola, na kuhakikishia utasubiri sana kwasababu CCM sio tuu ni chama cha siasa, ni chama dola, ni dola!. CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola!
P
Achilia mbali "chama dola", hata dola yenyewe huanguka na kupotea kabisa...
Dola ya Rumi, Dola ya Misri ya kale chini ya Farao zilizowahi kuwa na nguvu sana duniani, zilianguka na kupotea hadi leo....
Mwisho wa jambo lolote haupimwi wala kuangaliwa kwa namna unavyoangalia wewe kwa kuwa unaona ukubwa wake, nguvu zake na uwezo wake kwa macho yako tu ya damu na nyama...
Mwisho wa kitu au jambo hupimwa kwa kuangalia majira na ishara za nyakati....
Watu wa Sodoma na Gomorra waliangamia wote kwa sbb ya ujinga wao wa kutosoma ishara za nyakati na majira. Walikuwa wanajiona wako fresh, wana kila kitu, nguvu na mapesa ya kula maraha. Bahati mbaya ni kuwa walikuwa wajinga kama walivyo CCM leo....!
Kizazi cha Nuhu (Noah) kilichoangamizwa na mafuriko ya maji (gharika) ya Mungu kilikuwa na kila kitu, kilijiona kina akili na nguvu nyingi, lakini kikaangamia chote kwa sababu ya ujinga wa kushindwa kuzielewa ishara za nyakati na majira kama walivyo CCM....
Ishara za nyakati na majira, zinathibitisha mwisho wa CCM umefika haijalishi mnajiona mna nguvu kiasi gani maana hazitawasaidia kwa kuwa MAJIRA na NYAKATI zina nguvu zaidi ya hizo zenu
Kumbuka kanuni hii muhimu ya asili: Kwamba, hakuna kilicho na mwanzo kikakosa kuwa na mwisho wake....!!
Mene mene tekeli na peresi!Chama dola kongwe kimeishiwa mbinu zote walizozoea kutumia kama silaha, ambazo ni Bunge, Mahakama, Sheria za Uchu wa Kubaki Madarakani, Propaganda Mfu Amani ipo Tanzania n.k
- 2024 September Mauaji yapigiwa kelele waziwazi mbele ya waziri wa mambo ya ndani Eng. Masauni ktk maziko ya mzee Ali Mohamed Kibao
- 2024 Mahakama Kuu inajitutumua kuacha kutumiwa kama silaha ya vitisho na CCM- KESI YA TAMISEMI kusimamia uchaguzi wa mitaa, vitongoji na vijiji pingamizi la serikali latupiliwa mbali
- 2024 Agosti - Watu wa nyikani Ngorongoro wajiunga ktk wingi wao kama jamii ya kiMaasai, serikali ya CCM yasalimu amri Kabudi na Lukuvi waenda kuomba msamaha
- 2024 Agosti serikali ya CCM yatumia chakula kama silaha ya kivita kwa kuweka mageti barabarani kuzuia chakula kisifike Ngorongoro
- 2024 kuelekea Siku ya Vijana Duniani tarehe 12 Agosti 2024 jijini Mbeya wafuasi 500 wa CHADEMA wasukumwa mahabusu na kutishiwa kufunguliwa kesi,
- 2023 November CCM yatumia bunge lake la chama kimoja Dodoma kama silaha ya ugandamizi, kwa kupuuza kuweka viraka vya sheria ya uchaguzi Tume Huru ya Uchaguzi INEC isiweze kusimamia uchaguzi wa November 2024
- 2023 Tundu Lissu na CHADEMA Kanda ya kaskazini wazuiwa kuingia Ngorongoro Loliondo na kufunguliwa kesi, ambazo serikali imeshindwa kuendlea na kesi
Hizi ni harakati zile zile za siku za nyuma haswa awamu ya Kikwete, awamu ya Samia ni marudio ya awamu ya Kikwete, hakuna jipya lolote ambalo halijaipa nchi uzoefu wa miaka ya nyuma.Chama dola kongwe kimeishiwa mbinu zote walizozoea kutumia kama silaha, ambazo ni Bunge, Mahakama, Sheria za Uchu wa Kubaki Madarakani, Propaganda Mfu Amani ipo Tanzania n.k
- 2024 September Mauaji yapigiwa kelele waziwazi mbele ya waziri wa mambo ya ndani Eng. Masauni ktk maziko ya mzee Ali Mohamed Kibao
- 2024 Mahakama Kuu inajitutumua kuacha kutumiwa kama silaha ya vitisho na CCM- KESI YA TAMISEMI kusimamia uchaguzi wa mitaa, vitongoji na vijiji pingamizi la serikali latupiliwa mbali
- 2024 Agosti - Watu wa nyikani Ngorongoro wajiunga ktk wingi wao kama jamii ya kiMaasai, serikali ya CCM yasalimu amri Kabudi na Lukuvi waenda kuomba msamaha
- 2024 Agosti serikali ya CCM yatumia chakula kama silaha ya kivita kwa kuweka mageti barabarani kuzuia chakula kisifike Ngorongoro
- 2024 kuelekea Siku ya Vijana Duniani tarehe 12 Agosti 2024 jijini Mbeya wafuasi 500 wa CHADEMA wasukumwa mahabusu na kutishiwa kufunguliwa kesi,
- 2023 November CCM yatumia bunge lake la chama kimoja Dodoma kama silaha ya ugandamizi, kwa kupuuza kuweka viraka vya sheria ya uchaguzi Tume Huru ya Uchaguzi INEC isiweze kusimamia uchaguzi wa November 2024
- 2023 Tundu Lissu na CHADEMA Kanda ya kaskazini wazuiwa kuingia Ngorongoro Loliondo na kufunguliwa kesi, ambazo serikali imeshindwa kuendlea na kesi
CCM ipo mpaka kule mpakani Kigoma na Katavi, ipo kila sehemu na inafanya vikao kwa mujibu wa katiba yake huko ilipo.Tuache kujidanganya ccm ni taasisi imara sana ingawa ina mapungufu yake kwenye mambo kadhaa ila imeviacha mbali sana hivi vyama vingine huo ndio ukweli, 2025 ccm itashinda kwa kishindo sioni wa kuisumbua ccm kwa sasa
Mimi na wewe pia tutakufa, tofautisha siasa za kiunaharakati anazofanya Mbowe na uhalisia wa mapambano ya kiuchumi anaoufanya Samia kila siku.Una miaka mingapi toka kuzaliwa kwako?
Umebakiwa na miaka mingapi yakuishi hapa duniani?
Ccm itakufa kama wewe utakavyokufa.
Najua kinachowapa kiburi ni bunduki na wala sio kukubalika.
Igp anazungukwa na hao wa zenjiiMasauni, IGP na Awadhi wanapaswa kushitakiwa kwa uhaini haraka sn
Yaani ni mambo ya hovyo snIgp anazungukwa na hao wa zenjii
Mtaweweseka sana kwa CCM.Chama dola kongwe kimeishiwa mbinu zote walizozoea kutumia kama silaha, ambazo ni Bunge, Mahakama, Sheria za Uchu wa Kubaki Madarakani, Propaganda Mfu Amani ipo Tanzania n.k
- 2024 September Mauaji yapigiwa kelele waziwazi mbele ya waziri wa mambo ya ndani Eng. Masauni ktk maziko ya mzee Ali Mohamed Kibao
- 2024 Mahakama Kuu inajitutumua kuacha kutumiwa kama silaha ya vitisho na CCM- KESI YA TAMISEMI kusimamia uchaguzi wa mitaa, vitongoji na vijiji pingamizi la serikali latupiliwa mbali
- 2024 Agosti - Watu wa nyikani Ngorongoro wajiunga ktk wingi wao kama jamii ya kiMaasai, serikali ya CCM yasalimu amri Kabudi na Lukuvi waenda kuomba msamaha
- 2024 Agosti serikali ya CCM yatumia chakula kama silaha ya kivita kwa kuweka mageti barabarani kuzuia chakula kisifike Ngorongoro
- 2024 kuelekea Siku ya Vijana Duniani tarehe 12 Agosti 2024 jijini Mbeya wafuasi 500 wa CHADEMA wasukumwa mahabusu na kutishiwa kufunguliwa kesi,
- 2023 November CCM yatumia bunge lake la chama kimoja Dodoma kama silaha ya ugandamizi, kwa kupuuza kuweka viraka vya sheria ya uchaguzi Tume Huru ya Uchaguzi INEC isiweze kusimamia uchaguzi wa November 2024
- 2023 Tundu Lissu na CHADEMA Kanda ya kaskazini wazuiwa kuingia Ngorongoro Loliondo na kufunguliwa kesi, ambazo serikali imeshindwa kuendlea na kesi
Hata Dola huwa inaanguka.Kama ni kusubiria anguko la chama dola, na kuhakikishia utasubiri sana kwasababu CCM sio tuu ni chama cha siasa, ni chama dola, ni dola!. CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola!
P
Siasa wanazofanya ni za miaka 2005-2007 sio miaka hii ya 2023-2024 wameshapitwa na wakati na wamepoteza kabisa uhalisia wa kinachoendelea kiuchumi duniani hivi sasa.Mtaweweseka sana kwa CCM.
Ni kweli, kama dola ya Rumi, hivyo endelea kusubiriaHata Dola huwa inaanguka.