OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,315
- 13,269
Hiyo ni estimation mkuuCCM ikifika 2060 inatawala itakuwa imepata ushindi mkubwa sana.
Yani wewe hata ku estimate CCM itatawala mpaka 2060 ni ushindi kwa CCM tayari.Hiyo ni estimation mkuu
100 years post independence, na mfumo ni wa kuishi kwa kukopa, kumbuka unapokopa hakuna tatizo kwa sababu umekopa kidogo.
Ukiwa mkopaji mzuri kila mwaka na rejesho ni dogo kiasi kwamba hatuoni kama kinarejeshwa ukakopa kwa miaka 100 😄
Nadhani sihitaji kuendelea unaelewa kinachokuja
Amekuwa realisticYani wewe hata ku estimate CCM itatawala mpaka 2060 ni ushindi kwa CCM tayari.
OK.Mwaka 2060 ni miaka 100 ya CCM kiutawala (karne).
Adui halisi wa CCM sio CHADEMA, adui halisi wa CCM ni deni la taifa (uchumi) CHADEMA inaipumbaza CCM na CCM hailioni deni la taifa na, kila mwana CCM anataka cheo . uchumi utaiadhibu CCM.
Tanzania inaishi kwa kukopa nje ya nchi (bajeti) tangu enzi za mwl J.K Nyerere hadi leo hii ni miaka 60+, deni la taifa linaongezeka kila mwaka, haba na haba hujaza kibaba, deni linasonga mbele harirudi nyuma, mwaka 2060 ni miaka 100 ya kuishi kwa kukopa, deni litakuwa kubwa sana. tons of trillions na walipaji ni raia.
Kinachokopwa hakitumiki inavyopaswa zingatia ripoti za CAG na wanaopaswa kuwa wakali ni CCM sio CHADEMA maana wao wapo nje ya mfumo, hii hali ya kukopa na kutumia kufuja ikiendelea mwaka 2060 maisha ya mtanzania mmoja mmoja yatakuwa magumu sana yatakuwa siyo ya kuvumiliana.
Ugumu wa maisha 2060 kwa mtanzania mmoja mmoja utatengeneza natural revolt ambayo itaiondoa CCM madarakani. Dola ni suluhisho la muda, suluhisho la milele ni uchumi mzuri maisha mazuri kwa mtu mmoja mmoja
Kutoka 2026 mpaka 2060 ni miaka 40, piga picha hali ya sasa kiuchumi kisiasa kisha piga picha miaka 40 mbele je unaona nini?
Je CCM imechelewa au itaamka kutoka usingizini?? Inaona hili tatizo kweli? Itajisahihisha? Au kila ajaye apambane kivyake sisi shida za nini tunasubiri uteuzi?
Nawasilisha.
Kasoro zipi? Unaelewa lakini kinachozungumziwa kwenye huu uzi?Usijipe moyo CCM haiwezi kuanguka Leo au kesho, Ina watu wenye maono ya mbali, kasoro ndogo ndogo za hapa na pale zitaisha soon!
2060 ni mbali sana ccm haifiki 2035Mwaka 2060 ni miaka 100 ya CCM kiutawala (karne).
Adui halisi wa CCM sio CHADEMA, adui halisi wa CCM ni deni la taifa (uchumi) CHADEMA inaipumbaza CCM na CCM hailioni deni la taifa na, kila mwana CCM anataka cheo . uchumi utaiadhibu CCM.
Tanzania inaishi kwa kukopa nje ya nchi (bajeti) tangu enzi za mwl J.K Nyerere hadi leo hii ni miaka 60+, deni la taifa linaongezeka kila mwaka, haba na haba hujaza kibaba, deni linasonga mbele harirudi nyuma, mwaka 2060 ni miaka 100 ya kuishi kwa kukopa, deni litakuwa kubwa sana. tons of trillions na walipaji ni raia.
Kinachokopwa hakitumiki inavyopaswa zingatia ripoti za CAG na wanaopaswa kuwa wakali ni CCM sio CHADEMA maana wao wapo nje ya mfumo, hii hali ya kukopa na kutumia kufuja ikiendelea mwaka 2060 maisha ya mtanzania mmoja mmoja yatakuwa magumu sana yatakuwa siyo ya kuvumiliana.
Ugumu wa maisha 2060 kwa mtanzania mmoja mmoja utatengeneza natural revolt ambayo itaiondoa CCM madarakani. Dola ni suluhisho la muda, suluhisho la milele ni uchumi mzuri maisha mazuri kwa mtu mmoja mmoja
Kutoka 2026 mpaka 2060 ni miaka 40, piga picha hali ya sasa kiuchumi kisiasa kisha piga picha miaka 40 mbele je unaona nini?
Je CCM imechelewa au itaamka kutoka usingizini?? Inaona hili tatizo kweli? Itajisahihisha? Au kila ajaye apambane kivyake sisi shida za nini tunasubiri uteuzi?
Nawasilisha.
Sasa mkuu ulitaka tu estimate vipi?Yani wewe hata ku estimate CCM itatawala mpaka 2060 ni ushindi kwa CCM tayari.
Realistic or not, huo ni ushindi mkubwa kwa CCM.Amekuwa realistic
Mimi sijataka u estimate vyovyote, ku estimate ni haki yako ya kikatiba na kibinadamu, siwezi kukupangia, ingawa Tanzania unaweza kufungwa kwa sheria ya takwimu.Sasa mkuu ulitaka tu estimate vipi?
mkuu unatakiwa kuutambua uhalisia na mawazo ya kufikirika yanayokujaga kwenye vichwa vya watu wengi humu jf.Mimi sijataka u estimate vyovyote, ku estimate ni haki yako ya kikatiba na kibinadamu, siwezi kukupangia, ingawa Tanzania unaweza kufungwa kwa sheria ya takwimu.
Nimekwambia tu kama mna mawazo ya kutawaliwa na CCM mpaka 2060, huo ni ushindi mkubwa sana kwa CCM.
Yani hiyo mentality tu tayari ni ushindi kwa CCM.
Watu wenye maono kama wewe au siyoUsijipe moyo CCM haiwezi kuanguka Leo au kesho, Ina watu wenye maono ya mbali, kasoro ndogo ndogo za hapa na pale zitaisha soon!
Sijasema lolote kuhusu uhalisia.mkuu unatakiwa kuutambua uhalisia na mawazo ya kufikirika yanayokujaga kwenye vichwa vya watu wengi humu jf.
CCm haitatoka madarakani kwa sababu ya CHADEMA ccm itatoka kwa sababu za kiuchumi au itajiua yenyewe na kujifufua yenyewe kupitia jina lingine kabla ya mwaka 2060 be realistic embrace the reality
2060 - 2026 = 34Kutoka 2026 mpaka 2060 ni miaka 40,
AHsante2060 - 2026 = 34
Umekosea mkuu