Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 6,363
- 5,354
sema inamiliki bunduki na majeshi yao hilo tu.Usijipe moyo CCM haiwezi kuanguka Leo au kesho, Ina watu wenye maono ya mbali, kasoro ndogo ndogo za hapa na pale zitaisha soon!
sema inamiliki bunduki na majeshi yao hilo tu.Usijipe moyo CCM haiwezi kuanguka Leo au kesho, Ina watu wenye maono ya mbali, kasoro ndogo ndogo za hapa na pale zitaisha soon!
Wewe wasema.kwa vyama vya siasa kama chadema,ccm itatawala kwa miaka mingi tu,,mi naona chama serious labda ACT au chaumma,,hawa chadema wanaodhani wataiangusha ccm kwa kuichamba mitandaoni,mtàsubiri sana,
CHADEMA imeawaachia uwanja wanafanya nini?. ACT na CHAUMMA ni vyama rafiki wa CCM.kwa vyama vya siasa kama chadema,ccm itatawala kwa miaka mingi tu,,mi naona chama serious labda ACT au chaumma,,hawa chadema wanaodhani wataiangusha ccm kwa kuichamba mitandaoni,mtàsubiri sana,
Ni bahati mbaya sana tumeenda kwenye confrontation, lakini niwashauri wapinzani waachane na mabeberu, hata kama CCM ni mbaya mabeberu ni wabaya zaidi. Mtakuja kuona huko mbele wakiona hamna tena matumaini waliyowrkeza wataungana na sisi. Be warned!sema inamiliki bunduki na majeshi yao hilo tu.
JPM alizaliwa Oct 29Mwaka 2060 ni miaka 100 ya CCM kiutawala (karne).
Adui halisi wa CCM sio CHADEMA, adui halisi wa CCM ni deni la taifa (uchumi) CHADEMA inaipumbaza CCM na CCM hailioni deni la taifa na, kila mwana CCM anataka cheo . uchumi utaiadhibu CCM.
Tanzania inaishi kwa kukopa nje ya nchi (bajeti) tangu enzi za mwl J.K Nyerere hadi leo hii ni miaka 60+, deni la taifa linaongezeka kila mwaka, haba na haba hujaza kibaba, deni linasonga mbele harirudi nyuma, mwaka 2060 ni miaka 100 ya kuishi kwa kukopa, deni litakuwa kubwa sana. tons of trillions na walipaji ni raia.
Kinachokopwa hakitumiki inavyopaswa zingatia ripoti za CAG na wanaopaswa kuwa wakali ni CCM sio CHADEMA maana wao wapo nje ya mfumo, hii hali ya kukopa na kutumia kufuja ikiendelea mwaka 2060 maisha ya mtanzania mmoja mmoja yatakuwa magumu sana yatakuwa siyo ya kuvumiliana.
Ugumu wa maisha 2060 kwa mtanzania mmoja mmoja utatengeneza natural revolt ambayo itaiondoa CCM madarakani. Dola ni suluhisho la muda, suluhisho la milele ni uchumi mzuri maisha mazuri kwa mtu mmoja mmoja
Kutoka 2026 mpaka 2060 ni miaka 40, piga picha hali ya sasa kiuchumi kisiasa kisha piga picha miaka 40 mbele je unaona nini?
Je CCM imechelewa au itaamka kutoka usingizini?? Inaona hili tatizo kweli? Itajisahihisha? Au kila ajaye apambane kivyake sisi shida za nini tunasubiri uteuzi?
Nawasilisha.
Mabeberu Wakiungana nanyi wanakuwa wafadhiri. Mmetufanya watanganyika wote kuwa watotoNi bahati mbaya sana tumeenda kwenye confrontation, lakini niwashauri wapinzani waachane na mabeberu, hata kama CCM ni mbaya mabeberu ni wabaya zaidi. Mtakuja kuona huko mbele wakiona hamna tena matumaini waliyowrkeza wataungana na sisi. Be warned!
hata kama,political coalition haijawahi kuwa kosaCHADEMA imeawaachia uwanja wanafanya nini?. ACT na CHAUMMA ni vyama rafiki wa CCM.
kama una akili sawa sawa huwezi side na a failing side,Lugha ya yule mama mliyedhani nimtetezi mmeielewa? This is how they act, wanachonganisha pande zote, Kisha wanaangalia the winning side na ku side nao