Anguko la CCM mwaka 2060 litasababishwa na kukosa maono! too late?

kwa vyama vya siasa kama chadema,ccm itatawala kwa miaka mingi tu,,mi naona chama serious labda ACT au chaumma,,hawa chadema wanaodhani wataiangusha ccm kwa kuichamba mitandaoni,mtàsubiri sana,
Wewe wasema.
 
CHADEMA imeawaachia uwanja wanafanya nini?. ACT na CHAUMMA ni vyama rafiki wa CCM.
 
CCM ipo madarakani kwa sababu ya majeshi, mahakama na bunge.
 
sema inamiliki bunduki na majeshi yao hilo tu.
Ni bahati mbaya sana tumeenda kwenye confrontation, lakini niwashauri wapinzani waachane na mabeberu, hata kama CCM ni mbaya mabeberu ni wabaya zaidi. Mtakuja kuona huko mbele wakiona hamna tena matumaini waliyowrkeza wataungana na sisi. Be warned!
 
Lugha ya yule mama mliyedhani nimtetezi mmeielewa? This is how they act, wanachonganisha pande zote, Kisha wanaangalia the winning side na ku side nao
 
JPM alizaliwa Oct 29
 
Mabeberu Wakiungana nanyi wanakuwa wafadhiri. Mmetufanya watanganyika wote kuwa watoto
 
Lugha ya yule mama mliyedhani nimtetezi mmeielewa? This is how they act, wanachonganisha pande zote, Kisha wanaangalia the winning side na ku side nao
kama una akili sawa sawa huwezi side na a failing side,
 
Reactions: Ame
CCM ilijifia Kitambo sana
Kweli tumetofautiana akili pakubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…