Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Diamond amesha drop mkuu ?Ya Mungu mengi..labda kwelii! Kwani ni nani alijua Trump atashinda uchaguziii [emoji6][emoji6][emoji3]
Yeye ni binadamu kama wengine tu na kupanda na kushuka ndo maisha yenyewe hayo ..ye ni nani kwamba atakua juu tu kila siku!? Ipo siku na yeye anaweza akawa kama Mr. Nice tu...sio ajabu hata! Ndo maishaaa
na kajamaa kana wa prove wrong ma haters kinyamaaaJF sio sehemu ya kuropoka,unaweza ukaikataa thread uliyo ianzisha mwenyewe.Mondi kaanza kutabiriwa kuanguka tokea 2013,lkn jamaa bado anadunda.