Anguko la Diamond ni sawa na "Mr nice"

Anguko la Diamond ni sawa na "Mr nice"

Ya Mungu mengi..labda kwelii! Kwani ni nani alijua Trump atashinda uchaguziii [emoji6][emoji6][emoji3]

Yeye ni binadamu kama wengine tu na kupanda na kushuka ndo maisha yenyewe hayo ..ye ni nani kwamba atakua juu tu kila siku!? Ipo siku na yeye anaweza akawa kama Mr. Nice tu...sio ajabu hata! Ndo maishaaa
Diamond amesha drop mkuu ?
 
JF sio sehemu ya kuropoka,unaweza ukaikataa thread uliyo ianzisha mwenyewe.Mondi kaanza kutabiriwa kuanguka tokea 2013,lkn jamaa bado anadunda.
 
Back
Top Bottom