Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Diamond amesha drop mkuu ?Ya Mungu mengi..labda kwelii! Kwani ni nani alijua Trump atashinda uchaguziii [emoji6][emoji6][emoji3]
Yeye ni binadamu kama wengine tu na kupanda na kushuka ndo maisha yenyewe hayo ..ye ni nani kwamba atakua juu tu kila siku!? Ipo siku na yeye anaweza akawa kama Mr. Nice tu...sio ajabu hata! Ndo maishaaa