Sambusa kavu
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 806
- 1,296
Mnaongea nini nyie?
Mnamfahanu Whitney Hutson?
Alikuwa tajiri , huyo diamond zidisha mara 10000, lkn alikufa maskini
Wapo wengi tu,
Tena amekufa ameacha mali kibao , boyfriend wake na ndugu wanazigombania, mkuu huyo jamaa kakurupuka anataka kutuaminisha ujinga na chukiWewe acha uongo, aliokwambia Whitney Houston alikufa masikini ni nani? Whitney kafa kaacha bando la maana. Kufa kwa kuvuta madawa maana yake sio kufa masikini.
Dah! Watu mnadadisi aiseeMmmmh kwa kuandika bila hata kupumua, inahashiria unatamani aanguke.
Haya kamsalie ili apae zaidi.
Aiseukisema ukweli watakuita team kiba as if tz kuna sheria ukimpenda diamond huwezi kumpenda ally kiba
nyimbo mbaya sana mkuu kijana ajipange upya na kuhusu sallam ni kweli abaki tu kutafuta show amuache mswahili wetu wa tangu kale babu tale
HahahahaMkuu naona unajipa moyo sana
Nenda insta ya domo ndo utajua mm natukan au jamaa kakwambia ukweliKwani ukitoa hoja zako bila kutukana unapungukiwa nini mkuu.
Amecopy video ya love me lil Wayne feat.drake and future*kushindana not kusindana...2nd amem copy nani?wazungu wanamsemo "watch and learn"...baada ya muda utaelewa nlimaanisha nn
Huku ndo kuzuri sasa unacopy vitu vya maendeleo na wewe unafanikiwa sio unacopy kupumuliwa.Amecopy video ya love me lil Wayne feat.drake and future
CopyView attachment 438255View attachment 438256View attachment 438257
PasteView attachment 438258View attachment 438259View attachment 438261
Vi scene viwili unalia lia ka copy nenda kaskilize ngoma ya Jay z Bonnie & Clyde na ya Tupac Me & my girlfriend afu urudi kulalamika...ktk dunia hii almost kila kitu kishafanyika kinachotokea ni kunyumbulisha tu wazo la mwenzio upate kilicho bora..Amecopy video ya love me lil Wayne feat.drake and future
CopyView attachment 438255View attachment 438256View attachment 438257
PasteView attachment 438258View attachment 438259View attachment 438261
Ya Diamond hayanihusu nakumbuka Mbagala basi. Sasa hebu niambie hiyo avatar uliitoa wapi?Tatizo hawa team mondi hawataki kusikia wakiambiwa ukweli, ila ngoja tuwaeleze tu wasiposikia basi watajua wenyewe.
Unatakiwa uelewe diamond hawezi kuimba tena kama zamani ameshakuwa mkubwa fan basr yake ya sasa ni tofauti na zaman anamashaniki wengi sana nje ya Tanzania.Tatizo haya matimu ndo chanzo cha wasanii kuelekea kubaya kiukwl kabisa!! Unajua mm huwa napnda nyimbo na huwa sina taratibu za kupnda mtu!! Anapofanya vizur msanii yeyote yule anastahil pongez, pia unapoona mtu anaelekea kusiko c vyema kukumbatia u team!! Jamaa kaelezea vizuri sna kuwa uwezo wa jamaa utashuka kama sipokua makini na wakumuangusha ni miteam isiyo ya maana! Diamond haimba kama zamani, hana hisia za kimuziki kama zamani! Ww tim ukisikia nyimbo tu ya diamond bac hata akiwa hajafanya vizur unatoa pongez! Tuache ushabiki wakati mwingine tujue kabisa hawa vijana wetu kuna wakati wanateleza kw hiyo lazima usema ukwl! Na ndivyo kesho atalekebisha tatizo! Diamond ni binadam so kuna wakati anakosea pia, tuache matim tushabikia muziki kuitangaza Tanzania!
Umesema nikuletee ushahidi wa copy & paste iliyofanywa na WCB nimekuletea.Vi scene viwili unalia lia ka copy nenda kaskilize ngoma ya Jay z Bonnie & Clyde na ya Tupac Me & my girlfriend afu urudi kulalamika...ktk dunia hii almost kila kitu kishafanyika kinachotokea ni kunyumbulisha tu wazo la mwenzio upate kilicho bora..
Unajua kajiandae imeshutiwa sehem bado iliposhutiwa sema walififsha light so unataka kunambia walikosa sehem nyingne ya kushutia tofaut na iyoUmesema nikuletee ushahidi wa copy & paste iliyofanywa na WCB nimekuletea.
Jay z akiliwa jicho na wewe utakuwa tayari kuliwa jicho??
Huyo jamas ni hater , hajui hata anachokiongeaUnajua kajiandae imeshutiwa sehem bado iliposhutiwa sema walififsha light so unataka kunambia walikosa sehem nyingne ya kushutia tofaut na iyo