Unaongea nini wewe!!?
Alikuwa tajiri marekani , nao wana mifumo yao ya maisha, marekani kuna watu wanaitwa homeless, hapa bongo ukisha jenga nyumba umeula. Wao namna uchumi wao unavo endeshwa ni tofaut na sisi. Kwao ni rahisi kuwa tajiri wakati pia ni rahisi kufilisika.
Kwa namna yetu ya maisha ni kazi sana, hata huyo whutney houston hakufa akiwa ana 0 kabisa.
Hivi nyie mnavo kuongelea kufilisika kwa mr Nice mna kuchukulia poa ee!!?, Mr Nice alifilisika kweli kweli, it happens once in a hundred years hiyo ya Nice. Halafu mr Nice hakifilisika mali alifilisija pesa, hakiwekeza chochote, Ki ufupi alifulia tuu.
Diamond akifilisika hivo lazima tukampime akili.