Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
I salute you kinsmen..!
Wote tunakumbuka namna mamelodi pamoja na aliyekuwa kocha wao bwana Rhulani mokwena walipoikonya yanga ushindi wao halali kabisa na kwenda kutolewa hatua ya nusu final.
Kwa sasa mokwena ana hali ngumu pale wydad kwani amekuwa mtu wa vipigo kila siku anababuliwa kama chapati.
Kwa sasa Raja casablanca wamerudi kwenye peak yao na wamemleta pape sakho na pia kiungo wa shoka fede bikolo..
Kwahiyo bwana mokwena ili mambo yake yaende sawa anapaswa kutubu na kukiri public kuwa waliifanyia dhuluma yanga bila hivyo ataendelea kula kibano mpaka aseme .
Na hata sasa huko kashakula kimoja cha mkwezi ..
Hata hao Mamelodi huku CAFCL watatoka mapema sana sana..
Karma is a real deal