britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Kijana Ambaye alitamba Miaka kadhaa nyuma ameonekana kuendelea kukata tamaa.
Tukumbuke Makonda ni nani
Makonda akiwa na cheo cha Mkuu wa wilaya Kinondoni aliwahi kuja na mapendekezo na Maagizo kadhaa
1. Aliwahi kuwatangazia wanafunzi wote waliohitimu kwenda ofisini kwake kuwasaidia kupata kazi, jambo ambalo lilipelekea Umaarufu wake.
2. Makonda aliwahi kuwaweka ndani maafisa Ardhi waliochelewa kufika kwenye eneo la kazi kwenye Kupima viwanja.
3. Makonda aliwahi kumuokotesha Balozi wa Burundi uchafu (baada ya kutupa chupa ya maji mtaani akamfuata akaamuru aiokote).
4. Makonda amewahi kuwataja Wauza madawa ya Kulevya akamtaja mpaka aliyempa connection ya kazi.
5. Makonda kwa mujibu wake ndo amekula raha kuzidi watu wote.
6. Makonda alianzisha Operation ya kuwasaka Mashoga akaambulia Ban ya Kutokanyaga Duniani kutoka kwa Pompeo.
7. Makonda aliwahi kumtamkia Sirro kwamba elfu 5 za rushwa inapita kwake.
8. Makonda aliwai Kuagiza Kontena la vifaa vya Kufundishia na Tractor ndani yake.
9. Ameomba msaada kujengewa hospitali.
ANGUKO
Hakuwa na uhusiano mzuri na viongozi wenzake kama.
PM, VP, Mpango, Sirro mpaka Bashiru.
Akatokea kukaidi mpaka Maagizo yao, kwa mujibu wa Bashiru.
Hayupo kwenye locus ya wanaotakiwa kushika nafasi tena.