Vedio si anataka uone na kusikia kama ilivyokuwa bila kuchanganywa na maji? Shida hapo sio Ayo bali vyuma kukaza, uwezo wako mdogo wa kununua unlimited bundleHilo la video kila habari ni tatizo kweli.
Umeona eehh yaan matz now kila kitu yameweka siasa idiots..nchi hii mijitu haina akili uwiiiiWatanzania mmejaa majungu tu baada ya kutoa ushauri ayafanyie mabadiliko mmekaa kuombea mabaya kijana arudi nyuma
"kamnda" mlipiga ramli chafu dhidi ya Diamond vikowapi?Binafsi nilikuwa mpenzi mno wa hii blog, lakini toka mwaka Jana mwanzoni mpenzi yangu yalitoweka kabisa
Kunasababu kadhaa zilizopelekea kuichukia hii blog ambazo ni Pamoja na
Habari zake Karibu zote amekuwa akiweka video badala ya Kuandika hali inayopelekea bundle kuisha Jataka sana
Pia Millard Ayo licha ya kutuwekea Video katika almost Kila habari anayoposti robo ya hiyo Habari unakuta na video ya Tangazo la biashara ambalo ni video pia
Achila mbali hilo hata Habari anazopost nyingi ni za bunuasi yaani kufikirika kwa maisha ya mtanzania wa kawaida hazina msaada mathalani NYUMBANI ghari duniani,Simu ya Gharama zaid na mengine mfano wa haya
Yeah mwenyewe nshasahau kutafuta habari sehemu nyingine zaidi JF baba laoMimi baada ya kuijua Jamii Forum hayo mengine sifuatilii kabisa.
Asbh kumekucha mto pawaga umejaa maji na samaki ni wa kumwaga, ulanzi unagemwa kwa wingi, wengine wameenda kuwinda digidigi, kanga, sungura nk(huu utakuwa mlo wa mchana)..Njooni pawaga jaman
>>ukiwa masikini kama mimi unadhauliwa hadi na watoto na ukiwa na uwezo utachukiwa kila kona....
Huyu kijana anapigwa vita sana na hii yote ni kutokana na mafanikio aliyopata nadhani.
NB: Njoo pawaga upate nyenzo ya kujikwamua na umasikini, hao wenye uwezo hata wakifilisika wewe bado utabaki na umasikini wako
unaitwa msigwa(nahisi ndio jina la ukoo) alafu unasema mkoa wenu?wew ni mkimbizi tuu ndani mji wa mawe na milima.....muulize mzee wako akina Mnogelichuma ni akina nan wilaya ya iringa vijijini ukianzia Mgera/luganga,kiwele,mfyome,kilendu,village 4 nkUsituharibie mkoa wetu